Rai February 2016
Na. Joel Ntile
Mwishoni mwa wiki iliyopita tarehe 30 na 31 ya mwezi wa kwanza ulifanyika mkutano wa 26 wa wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU), makao makuu mjini Addis Ababa Ethiopia. Mkutano huo uliweza kuleta hamasa na mvuto wa kufuatilia kile kilichokua...
Nimeisoma taarifa ya msemaji wa chama Ndugu Ole Sendeka inaonesha kwamba tarehe 23/July kuna makabidhiano ya Kijiti cha Mwenyekiti.
Sasa najiuliza, hakuna tangazo la kuchukua wala kurudisha fomu! Pia hakuna kujinadi wala kunadiwa!
Nadhani mfumo wa kukabidhiana ulifaa sana kwa miaka 1960s...
Yupo mwanafalsafa mmoja kutoka Ufaransa anaitwa Baron De Montesquieu mtalamu wa Sheria pamoja na masuala ya utawala katika Ulaya mnamo karne ya kumi na nane aliwahi kuainisha aina tatu za tawala katika Mataifa, Aina ya kwanza kwa mujibu wa De Montesquieu ni tawala za Kifalme (Monarch)...
( Rai 02- 08 /06/2016 Alhamisi)
Na Joel Ntile
Yupo mwanafalsafa mmoja kutoka Ufaransa anaitwa Baron De Montesquieu mtalamu wa Sheria pamoja na masuala ya utawala katika Ulaya mnamo karne ya kumi na nane aliwahi kuainisha aina tatu za tawala katika Mataifa, Aina ya kwanza kwa mujibu wa De...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.