Search results

  1. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo siha kilimanjaro nije tanga au pwani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Hellow hellow

    Mbona ka Me hi
  3. S

    Ruge ni mnyonyaji au mponyaji?

    Ruge is more than exploiter...nchi kama china watu kama hawa wana uwawa! He was the source ya kuiua East Coast,Kuwapoteza Gangwe Mob!...wenginw wanauliza idea inaibiwaje(poor minds) hamjawahi kuwa hata na mawazo ndio maana mnashindwa kuelewa inaibiwaje...Fiest wasanii wanaambiwa imba tutakupa...
  4. S

    Neno moja kwa huyu dada yetu

    Ni nani
  5. S

    Ruge ni mnyonyaji au mponyaji?

    Kwani mishahara ikoje kina mchomvu wanalipwaje?tuanzie hapo...nakipanya aliondokaje hapo vile? Tukumbushane tu. Na wale wasanii wa fiesta hivi huwa mikataba yao na bank receipt deposit huwa ni bei gani vile? Na Ladjaydee sugu naye vipi? Vipi zile mixtape za DJ Choka bado zinagongwa kituoni...
  6. S

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Unajua chuo kimoja tu cha sheria?IJA mwisho diploma,nikusaidie..nakuongezea vyuo vingine,uongeze machaguo baada ya kuwa umeotoka kwa bwana Milindo,kuna Mzumbe,Kuna UD,kuna Sauti etc..ongeza machaguo,napunguza kukalili..Lord Lofa
  7. S

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Duh!!unawaza uzinzi muda wote,akili tope..umesoma hadi darasa la ngapi?
  8. S

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Ha ha ha,wewe uliekelwa kwa wazembe ndugu zako kuwekwa ndani,ndio ukatune nondo maake wakitoka tu hawa,unafata wewe..jiandae
  9. S

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Rai kama wewe unastahili kunyongwa kwenye nchi ya watu walioamua kutafuta maendeleo kwa gharama yoyote..nashangaa kwa nin bado unaishi,kunywa ata sumu utusaidia,weka ata kwenye huo urojo ukitoa hizo porojo zako
  10. S

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Dont take personal..tunajenga taifa,dar foleni hazijaanza leo..mpaka ulete iwe sababu ya kufika saa tano??!
  11. S

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Ha ha ha kizuri ni kama hiki chako enh :-P
  12. S

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Mimi ndio nilikuambia ukimbie umande?
  13. S

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Subiri wewe kuvuliwa kwenye chombo chenye mamlaka,kama ilivyo kawaida yenu..wahamasishe maadvocate wenu kinatundu na hawa JF...mahakama ikawape jibu
  14. S

    Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

    Oky,nikajua nao wanasubiri harusi wako kwenye engagement :-P
  15. S

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Huwa mnapotea hivyo hivyo na maneno "wasomi" nawe ni msomi katika hii nchi? Wasomi whom i used to meet,hata hilo neno huwa hawalitangulizi,they speak the facts then unapima,nakuja Yap yap hapa kuna kichwa,sio wewe!
  16. S

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Dont be driven by your emotional na mapenzi ya siasa
  17. S

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Punguza mahaba,mahakam ipo..kama wata wiwa watakwenda mahakamani,au kama umeguswa you can ask them be your clients then ..we will meet kwa court and will see the interpretation ....nyinyi ndio inawagharimu fani na pempele za ushabiki wa vyama,mtakufa kitaaluma!
  18. S

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Umepotea,kifungi ndio hicho..shida ni interpretation..unafahamu rules of interpretations?ukitumia plain rule imekura kwako.. again som criteria za hivyo vifungu alivyo visite..some are irrevant to the fact in issue
Back
Top Bottom