Search results

  1. Prince naithy

    Nina pesa za koloni ya Ujerumani

    Nauza pesa za koloni ya Ujerumani nitapata wapi mnunuzi pesa ye nye DEUTSCH OSTAFRIKASCHE GESELLSCHAFT ya mwaka1892.
  2. Prince naithy

    Kama umechaguliwa mwaka huu na hukuripoti chuo, unaweza tena ku-apply mwakani?

    Jamani wana JF. nauliza kwamba Kama umechaguliwa mwaka huu kusoma diploma au certificate na hau kwenda chuoni JE una weza kuapply tens mwakani au jdo umeshapitwa na. Nafasi
  3. Prince naithy

    KWALIO APPLY NACTE ALAFU WAME CHA GULINA HAWA KWENDA KUSOMAAWA

    Habari zenu wana JF naombeni kujua kwamba KAMA umechaguliwa chuo na haukwenda utafa nyaje nwaka ijao ili kwenda kusoma chuo kwa mwaka 2017/18
  4. Prince naithy

    Naomba kufahamishwa kuhusu chuo cha Bulongwa

    Jamani wana JF Habari zenu Sasa naomba kujua kuhusu Chuo cha Bulongwa jinsi kilivyooo
  5. Prince naithy

    Nani anajua Kuhusu chuo cha IMTU

    Ndugu wana JF KWA ANAYEJUA Kuhusu chuo cha IMTU dar es salam Anifahamishe Coz wamenichagua. Pale NURSING
  6. Prince naithy

    MSAAADA

    Kwa wale walio apply second majina ya natoka vipi kama ume sha cha guliwa MHIMU
  7. Prince naithy

    NACTE wametoa post first round 2016

    Acheni kupotosha ummah vjana bado hawajatoa labda week ijayo ndo watatoa
  8. Prince naithy

    NACTE watatoa lini mrejesho?

    Wadau eeeeeeeeeeh nacte bado hawaja toa au mpakq weeeek 4 zijazooooo nn Coz wamesema mpk week 4 yaaan trh3 mpaka leo trh 21 bado ci mazinguZi haya au wame tusahau nn
  9. Prince naithy

    Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    Nacte wana zingua xaaana mpaka Leo ndo weeek 4
  10. Prince naithy

    NACTE Imetema, angalieni Profile zenu

    Mnzngua Amn k2 chchote kweny nacte ttz una cube kjn achà upumbavu
  11. Prince naithy

    Kwa walipio Apply online NACTE

    Profile c ina deidlin
  12. Prince naithy

    Njoo Decca College of Health and Allied Science

    Ada ngap na credt gan zamasom yakuinglia
  13. Prince naithy

    Kwa walipio Apply online NACTE

    Jamani samahanini eti matokeo ya kwalio chagyliwa yanatoka wapi jamani mm sijui
  14. Prince naithy

    NACTE yazindua Udahili wa Masomo ya Juu 2016/17

    Jamani nataka kuapply chuo. Kwenye NACTE nashindwa yaani haitaki kufunguka, nifanyaje jamaani nmesha walipa, naombeni msaada nataka kuapply.
Back
Top Bottom