Search results

  1. V

    Mtoto wa miezi minne anatakiwa anywe kiasi gani cha maziwa ya mama?

    Wakuu, mtoto wa miezi minne anatakiwa anywe at least kiasi gani cha ujazo wa maziwa ya mama kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tisa mchana. Tunatumia chuchu za watoto
  2. V

    Ukosefu wa chanjo ya matone ya Polio

    Ni muda sasa hizi chanjo hazipatikaniki hospitalini? Serikali nayo imekaa kimya
  3. V

    Msaada: Siipati Twitter App store

    Mbona App ya Twitter nimeitafuta sana App Store siipati wandugu? Kuna mtu anaweza nisaidia? Nilikuwa nayo mwaka jana ila ilipoanza kugoma goma nikaifuta,sasa nataka kuirudisha kila nikiitafuta siioni App Store. Natumia iPhone,msaada tafadhali?
  4. V

    Kuwa makini na mtandao wa Airtel

    Huu mtandao umekuwa na shida sana hasa kwenye upande wa Airtel money. Baya zaidi wana wahudumu ambao wana majibu rahisi sana ya tumelipokea tatizo lako ndani ya masaa 24 utapata majibu ila ni uongo mtupu. Pindi unapowarudia baada ya hayo masaa 24 au zaidi wanasingizia wahudumu tupo wengi ngoja...
  5. V

    Je, ndimu ya pakti ni nzuri kiafya?

    Habari wana Jf, Naomba kuuliza hii ndimu inayouzwa kwenye pakti ambayo ipo kama chumvi ni nzuri kiafya?
  6. V

    Mamlaka ya hali ya hewa tanzania

    Kwanini taarifa za hali ya hewa Tanzania huwa hazirushwi na vituo vikubwa vya habari Duniani kama BBC na AL JAZIRA. Mara nyingi huwa naona nchi jirani ya Kenya
Back
Top Bottom