Washabikie tu iko siku watakwambia ili upate hiyo hela yako ukubali watu wafanye ngono na mbwa uoe mwanamme na ndoa za waume kwa wake marufuku usipokubal hawakupi misaada ndo unajua yesu yu mlangon
Acha mahaba mzee wa mahaba hakushinda niuulize ivi kati ya waziri na katibu mkuu wa wizara nani anatekeleza majukum ya wizara, tumpe ushirikiano rais afanye kazi
Yeye hajapost kuhusu nani hajabeba kombe amezungumzia kufika kumi nasita bora kwa wakati mgumu na kuweka record ya kurotolewa hatua hiyo toka awe kocha sasa unakurupuka na agenda nyingine nenden mchape ze comed alhamis huko kocha kazi kuandika uwanjan hadi dk 89anaandika kila mechi mtoe mapovu
Huna akil au umeguswa mlizoea huku mkiiba mtihan kama huko kahama, mbona unasema bila kujiuliza kwa nini umeme maji mafuta nauri kuna bei elekezi kwan wanunuz wa mabas wanachangiwa na serikal ni mjinga tuu kama ulivyomjinga wewe hadi unakurupuka kupost ujinga
Kikwete ni mkt wa chama na ndo alikuwa akipokea michango ya watu mbali mbali tofautisha hiyo michango ya chama na michango ya kumpa yeye binafsi kumbuka wakati kikwete 2005 walikuwepo wafanyabiashara sijui toka kanda ya kusin wamemchangia mara kanda ya ziwa na aliyeratibu hayo alikuwa mzee mavi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.