Search results

  1. A

    Access Bank wameshaita wafanyakazi wapya?

    Yeah wameshanipigia tayari- nitaenda kahama tar 14
  2. A

    Access Bank wameshaita wafanyakazi wapya?

    Hivi intern zinapatikaneje, natafuta saana walau niingie nmb for intern lkn cpajui pa kuanzia, tatzo tz tunaamin ktk whom u know
  3. A

    Access Bank wameshaita wafanyakazi wapya?

    Ww uliomba nafasi gan mkuu? Mm nliomba agro loan lkn cjapata sms na hata jmaa angu tulioomba pamoja agro hajapata, Naomba nijue walioomba agro walipata sms ya aina gani? Au sms ni hiyo hiyo kwa wote, naomba nichekie kama unamfaham aliyeomba agro na akapata sms
  4. A

    Access Bank wameshaita wafanyakazi wapya?

    Hata mm nlkuwepo huko, nashangaa kimya tena nlpga had ya tatu
  5. A

    Access Bank wameshaita wafanyakazi wapya?

    Mm sijatumiwa hata sms ya msamaha, au ndo nmelambwa nn
  6. A

    Access Bank wameshaita wafanyakazi wapya?

    Duuu......................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  7. A

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Jaman nimehitimu Banking n finance Udsm-2014, bado sijapata Ajira- Naomben kama kuna sehemu yoyote kuna nafasi ili nijishikize/ nipate ajira .. Nisaidien wandugu
Back
Top Bottom