Search results

  1. bongo soft guru

    Nyumba inauzwa Kimara, Dar

    Nyumba kuukuu (iliyo katika kiwanja chenye nafasi ya kujenga nyumba nyingine (mita 25 kwa mita 70),inauzwa Kimara mwisho,mita 700 toka Morogoro Road,pembeni ya barabara iendayo Bonyokwa,eneo linaloitwa Ghorofani/makaburini. Sababu ya kuuzwa ni kwa ajili ya matibabu ya mmiliki wake. Bei ni...
  2. bongo soft guru

    Wapi nitapata Landrover 200TDI Turbo?

    Wakuu habari,tafadhali naomba ushauri wa mahali naweza kupata turbo ya Landrover 200TDI. Pia ningependa kujua na bei zake. Akhsanteni sana na Mungu awabariki.
  3. bongo soft guru

    Natafuta HTC HD2 & Toshiba Satelite Screen.

    Habarini wana JF wote. Poleni na majukumu ya kujenga familia na nchi. Wakuu natafuta HTC HD2 ikiyokufa au nzima. Pia natafuta kioo cha Toshiba Satelite C660 pamoja na keyboard yake. Nawatakia Pasaka njema.
  4. bongo soft guru

    Msaada wa Wataalamu wa Magonjwa ya Njia Ya Mkojo

    Wakuu salaam. Kuna ndugu yangu alikuwa anaumwa malaria kali,ikabidi awekewe catheter kwani alikuwa hajitambui. Baada ya siku mbili alitolewa huo mrija na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Lakini wakati wanamtoa,wale manesi walifanya kosa na ikatoka damu nyingi sana,lakini mwisho wa siku wakasema...
  5. bongo soft guru

    Matatizo ya software kwenye simu, tablets na PC

    Wakuu habari,kwa wenye simu,tablets na PC zenye matatizo sugu yaliyoshindikana,tafadhali tuwasiliane. Matatizo yafuatayo nayapatia ufumbuzi, 1. Flashing (Kwa simu zilizo corrupt OS au simu zote zenye shida ya OS/firmwares (Android,iOS,Symbian,Blackberry OS,Windows Mobile & Windows Phone,BADA...
  6. bongo soft guru

    Hodi hodi

    Hodi humu ndani kwa Waungwana wa JamiiForums. Nategemea kupata mambo mengi mazuri kutoka kwenu wadau na mimi nawaahidi ushirikiano mkubwa toka kwangu kadri jinsi Bwana Mungu atakavyoniwezesha. Hodiniiii.
Back
Top Bottom