Search results

  1. bongo soft guru

    Nyumba inauzwa Kimara, Dar

    CC Hornet MJASIRIA MALI Bestates Tanzania dovillenproperty Dalalimsomi
  2. bongo soft guru

    Nyumba inauzwa Kimara, Dar

    Tayari mkuu
  3. bongo soft guru

    Nyumba inauzwa Kimara, Dar

    Google Location
  4. bongo soft guru

    Nyumba inauzwa Kimara, Dar

    Nyumba kuukuu (iliyo katika kiwanja chenye nafasi ya kujenga nyumba nyingine (mita 25 kwa mita 70),inauzwa Kimara mwisho,mita 700 toka Morogoro Road,pembeni ya barabara iendayo Bonyokwa,eneo linaloitwa Ghorofani/makaburini. Sababu ya kuuzwa ni kwa ajili ya matibabu ya mmiliki wake. Bei ni...
  5. bongo soft guru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Bado ipo?
  6. bongo soft guru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Uko wapi?
  7. bongo soft guru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Wana Dodoma inahitajika Smartphone yenye RAM si chini ya 2GB na bajati isiyozidi 180,000/= tafadhali tuwasiliane.
  8. bongo soft guru

    Pamoja na jitihada za polisi huko Morogoro , Mambo yako hivi

    Hivi ile amri ya kutopandisha watu kwenye malori haiwahusu hawa watu? Kuna siku Fuso yangu imekamatwa huko Kusini kisa imebeba wanafunzi kinyume cha sheria.
  9. bongo soft guru

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nikiingiza umeme kwenye Customer Interface Unit,inaniambia reject 19,tatizo ni nini?
  10. bongo soft guru

    MUSIBA: Makamba ni nani katika nchi hii? hana lolote, na Hana cha kunifanya

    Ulisikia Makamba akiongea na huyo kilaza saa hizo za usiku wa masaba?
  11. bongo soft guru

    Wapi nitapata Landrover 200TDI Turbo?

    Wakuu habari,tafadhali naomba ushauri wa mahali naweza kupata turbo ya Landrover 200TDI. Pia ningependa kujua na bei zake. Akhsanteni sana na Mungu awabariki.
  12. bongo soft guru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nataka J7 Pro.
  13. bongo soft guru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mbona simu haipatikani mkuu? Wauzaje?
  14. bongo soft guru

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Wadau habari,nina OXE BEGIN 101 inaishia kwenye "OXE" tu,anayeiweza ajitokeze. Pia nahitaji betri ya Magnus Bravo Z10. Pia kioo cha Magnus Bravo Z11 kinahitajika.
  15. bongo soft guru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    kula 180,000 mkuu
  16. bongo soft guru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Bado unayo?230 ipo hapa.
  17. bongo soft guru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji Samsung Galaxy J7
  18. bongo soft guru

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Wakuu,Samsung J mpya inahitajika.
Back
Top Bottom