Search results

  1. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tupeni kocha tuwape £100,Sterling, Badiashile na Disasi bure
  2. J

    USHUHUDA: Raha na utamu wa mapenzi viko Tabora, hiyo mikoa mingine mnateseka sana

    Sema mchakato wa kupata totozi huko ni mrahisi sana compare na kwa kina wema japo kina wema wanasifika. kwa wazee wa frog huko ndio uwanja wa nyumbani. I wish nifanyie utalii kule kusini nasikia wachezaji wanahituma
  3. J

    Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Vipi zile za aliexpress za mpaka $20 zina la maana au ni makopo tu
  4. J

    Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Chief mpaka game za UEFA unapata? Total installation cost zinaweza kua bei gani?
  5. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kocha popoma lililoshauriana na bodi kumrudisha Casadei. Halafu hachezi Kocha lililokariri sub ni Mudryk wakati kuna chezaji linazurura uwanjani na kibyongo Kocha linaloamini kwenda Wembley ni achievement kwa timu kama Chelsea Kocha lisiloweza kusoma mchezo na kukemea wachezaji waache utoto...
  6. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ila wadau kutubali tu tuna kocha kilaza grade A, uwezo wa kosoma mchezo ni zero kufanya sub ndio below zero. Sterling anafanya utoto na kocha hana maamuzi
  7. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mara ya mwisho timu yako inachukua ubingwa waziri mkuu wa Tanzania alikuwa Sumaye. Sasa sisi na wewe nani amuonee mwenzie huruma
  8. J

    Nitajiunga CCM Makonda akiwaita wanajeshi kama anavyowaita Mawaziri

    Nilichojifunza ni kwamba DAB ni zero brain pia wapinzani wake wengi ni wakurupukaji kiasi kwamba gape lake la kuwa zero brain na washindani wake linakosekana
  9. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ila tuache utani Pocche ni below average coach. Sterling akiwa hana mpira anatembea kama walking dead harudi kusaidia kukaba lakini kocha yupo kwenye kiti haoni tatizo. Hii kocha ina uwezo mdogo sana wa kusoma mchezo.
  10. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Vijana wa kubet hii timu isipowatajirisha ndio basi tena kwenye mechi tano zijazo ni mechi moja tu ndio inaweza pata sare dhidi ya crystal Palace nyingine kama kocha bado ndio huyu msije sema hatukuwaambia
  11. J

    Leo nitaeleza kwa nini uvivu ndio chanzo cha ongezeko tabia za hovyo kwa vijana wa kiume

    Mafanikio yapo kwenye nyanja nyingi, unaweza kuwa na mzigo kwenye account kwa kufanyiwa Matendo ya kudhalilishwa. Hivyo tutafute mafanikio yaliyo na balance kwenye nyanja tofauti
  12. J

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Samahani chief wapi naweza pata wifi extender inayowaza kucover more than 100m(nipo mkoani lakini)
  13. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hii timu inaishi kwa bahati bahati uwezo sifuri sahemu ya pasi wanabutua sehemu ya kushoot wanapiga pasi. Kocha ndio shati kabisa hana ushawishi wala pattern ya uchezaji
  14. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ila hii timu haina kocha kabisa, zero tactics (just pass the ball ) wachezaji wanautoto mwingi hakuna wa kuwakemea wala kuwaimprove.
  15. J

    BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    Sema bongo tungepata waandishi kama Mohamed tungetolewa tongotongo nyingi. Jamaa alikuwa na full evidence
  16. J

    Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Kwamba ummy elimu ndogo? unajua level yake ya elimu? Sasa kama ummy ni elimu ndogo vipi boss wake? Kwanza wewe kweli ni mtaalamu wa afya mbona mwandiko wa kiswahili na majungu. Ummy ni kweli anaweza kuwa ni kiongozi dhaifu kwenye serikali dhaifu lakini usizidishe chumvi mpaka hoja yako...
  17. J

    Wazo la leo: Hawa viumbe hawapendani wanaweza kuuana wakipata nafasi.

    Naona viumbe wanapambana waorodheshwe kwenye ripoti ya CAG wamekataa kabisa utambulisho wa jumla
Back
Top Bottom