Ndugu zangu, nimeshinda kesi yangu dhidi ya mwajiri wangu wa zamani pale CMA, naomba kujulishwa utaratibu ukoje kama hajakupa taarifa za kukulipa baada ya ule muda wa siku 14 wanazopewa kuisha?
Jamani kama tujuavyo katika nchi mbalimbali sehemu pekee ambapo wafanyakazi wanapata haki zao ni kwenye mahakama za kazi CMA na ndivyo ilivyo kwa Tanzania pia.
Kutokana na kutokua na mfumo mzuri wa ufuatiliaji sheria za ajira nchini kwetu Tanzania na waajiri kujiamulia mambo watakavyo kumekua...
Nimekuja kushukuru in advance. Nilisoma hii thread na sikudharau nikaaply. Leo tumefanya first interview. Hata kama sitapata kazi lakini kwangu ni heshima kubwa mno kuwa shortlisted na shirika kubwa duniani. Thank you mleta thread tuendelee na moyo huu wa kusaidiana watanzania.
Oral interviews nyingi maswali ni yaleyale unless kama ni technical job. Nenda google search sample interview questions and answers kwa position uliyoapply utapata msaada mkubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.