Search results

  1. datz

    Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

    Nimekuliza hilo neno kwa kiswahili linatamkwaje siyo hayo maneno maneno mengi Mf SUN - JUA
  2. datz

    Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Mkuu unamsalimu nani?
  3. datz

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Punguza jazba umwandikie kitu atakacho kielewa
  4. datz

    Afrika: Nchi 10 zenye barabara nzuri Tanzania haimo, Hayati Magufuli alikuwa anafanya nini?

    Huyo jamaa aliwashika hawatoka wakamsahau hadi kizazi chao cha nne
  5. datz

    Eng. Hersi, Senzo na Kocha Nabi tunaomba mtuachie klabu yetu!

    Tuambie aliyekutuma wewe siyo mwananchi huu ni zaidi ya umbea point ya msingi ya post yako kuisifia simba au na wewe ni chawa wa kwenye soka
  6. datz

    Kukiri Waziri Mkuu wa UK kwamba yeye ni Zayuni "la kutupwa"

    Kumbuka ni mwanachama wa NATO
  7. datz

    Chagua Kimoja unachohisi ndicho 'Kimemgharimu' Mtani wangu wa Kihaya Balozi Mulamula na Kutumbuliwa

    Mkuu yupi ulishawahi hapa Tanzania kumwona akipanda basi au lini ulishawahi kuwaza siku moja raisi atapanda basi badala ya v8 Alituaibisha sana akaona haifai siku chache tu Msumbiji tena huyu hapa
  8. datz

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Watu mna roho ngumu sana sasa kwa bahati mbaya utamu umemzidia sianaweza kukujambia
  9. datz

    Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

    Naomba nieleweshe nitajuaje mtu akiangalia status yangu
  10. datz

    Samia Scholarship ilitangazwa Septemba 27, leo Septemba 29 majina ya waliopata yatolewa. Kuna sehemu tunakosea!

    Idea ni nzuri sana ila mkuu wa kaya sidhani km atakubali kuwa sawa na imani tofauti na yeye
Back
Top Bottom