Search results

  1. petro h

    Swali kuhusu kikokotoo kipya cha mafao

    Maproo au sio!! Tunawahitaji sana wazee wanatusumbua huku hawaelewi wanatuuliza vijana pia hatuelewi yani imekuwa vurugu mechi
  2. petro h

    Swali kuhusu kikokotoo kipya cha mafao

    Habari wanajamii. Naomba mwenye uelewa mzuri wa habari za kikokotoo kipya cha mafao ya mstaafu na pensheni anielimishe mambo haya. (i) Kwa mfanyakazi atakayestaafu, kwa mfano, Nov 2022, ukokotoaji wa mafao yake utafuata kanuni mpya ya kikokotoo tu au itakuwa kikokotoo cha zamani kwa wakati...
Back
Top Bottom