Wakuu bila shaka ni kwema sana!
Naomba kufahamu kama kuna watu wapo humu ni either wafanyakazi wa UNHCR TANZANIA ama kuna mtu alishawahi kujaza hii form ya PF11 Anipe msaada zaidi namna nzuri ya kuijaza inipe priority. Nimetumiwa hii form kutoka UNHCR kigoma niijaze niwatumie kabla ya Ijumaa...
Hello ladies and Gentlemen..
Bila shaka mmeamka salana!
Natafuta solar panel used na vifaa vyake ninunue kwa bei ya maelewano. Kuanzia watss 10, 15, hadi 20.
Naomba kama una size mojawapo hapo juu tuwasiliane kwa whatsapp +255763877243
Nipo Ilemela Jijini Mwanza, Tanzania.
Habari za mchana wakuu?
Jamani nmehangaika, nimezunguka sana, familia huko kijijini inanililia, maisha yamekuwa magumu!!
Mwanaume kama kichwa cha familia halafu ajira sina inakuwa ni hatari sana!!
Naombeni msaada wenu wekuu nipate kazi
-naweza kuongea Kiswahili na Kiingereza vizuri sana
-naweza...
Habari wana Jf?
Natafuta Mahindi kwa bei ya chini angalau gunia liwe Tshs 45,000/-
Kwa wenyeji wa mikoani huko naomba mwongozo.
Nipo Mwanza mimi.
Mawasiliano
0683011003 whatsapp/call
Au pia°0762972021
Msaada wenu
Habari za asubuhi wakubwa zangu?
Baada ya salamu naomba niwasilishe lalamiko langu katika harakati za usakaji wa ajira.
Kwanza nijitambulishe kwamba mimi ni graduate katika fani ya logistics and transport, katika hangaika zangu za kusaka nafasi ya kazi ndipo nimekumbana uso kwa uso na hawa...
kwema humu?
Natafuta agents wa ajira kwa nchi za arabuni ambao wako hapa Dar es salaam. Sehem ambayo nimeilenga zaidi ni dubai.
Taaluma yangu ni degree ya logistics.
asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.