Search results

  1. P

    INAUZWA Inauzwa tiba asili zilizoidhinishwa na Serikali ( covidol, nimr caf na buyegi)

    Tunauza na kusambaza dawa/tiba asili ya homa, mafua na matatizo ya mfumo wa upumuaji (COVIDOL) Tshs 25000, pamoja na dawa Lishe kwa ajili ya mafua makali na kikohozi kikavu (NIMRCAF) Tshs 15,000 na dawa aina ya BUYEGI Tshs 20000 kwa jumla na reja reja. Tunafanya delivery kwa mikoani na nje ya...
  2. P

    Natafuta soko la Mayai ya Kienyeji

    Bei elfu 15000 Kwa tray na delivery elfu mbili(2000) tuu Kwa mawasiliano unaweza ni pm Sent from my LG-K330 using JamiiForums mobile app
  3. P

    Wapi naweza pata vifaranga vya kuku wa kienyeji?

    Leta number ya simu au India Instagram follow psfarmingtz
  4. P

    Natafuta soko la Mayai ya Kienyeji

    Wapendwa habarini, Natafuta soko la mayai ya Kuku wa kienyeji nina sambaza kwa wenyeji wa Dar. [emoji239]
  5. P

    Nakodisha Banda La kuku na vyombo vya kuku

    Picha tafafhali
  6. P

    Utafiti binafsi: Wadada waliozalishwa na kuachwa wana mapenzi ya dhati

    Ni kweli kabisa na hii nikwasababu anakuwa ameumizwa sana, kweli huwa wanapenda Kwa dhati kabisaa
  7. P

    Kwa nini kila mwanaume anapenda mwanamke mzuri?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. P

    Chanzo cha vifo vingi: Ajari ya wanafunzi wa Arusha

    Inauma sana hii ajali. Poleni wazazi, waalimu ndugu na jamaa wote . kweli watoto wetu wanatuuma sana
  9. P

    Msaada wa soko la kuku wa nyama

    Na Kwa mara ya kwanza anakuja kuchukua Kuku akiwa na wenziye watatu so jumla walikuja wanne so ilinifanya nikashtuka mchezo unaotaka kufanyika
  10. P

    Msaada wa soko la kuku wa nyama

    Umenigusa sana mkuu maana two weeks ago walikuja na Gari Na tenga then tukahesabu Mpaka 125 yeye anadai ni 110 tukabishana nikasema shushakuku wooote chini tuhesabu upya, hiviii 125 wakaona aibu Na till now nikiwaitia Kuku wanagoma kuja. Na alikuwa mteja wangu mzuri
  11. P

    Msaada wa soko la kuku wa nyama

    Enheee Ebu nisaidie Kioo , wakija na tenga inakuwa je? Wizi ama? Sent from my LG-K330 using JamiiForums mobile app
  12. P

    Msaada wa soko la kuku wa nyama

    [emoji7] thanks Mkuu umenena Na barikiwa mnoo
  13. P

    Msaada wa soko la kuku wa nyama

    [emoji23]
  14. P

    Msaada wa soko la kuku wa nyama

    Wakizungu/wanyama
  15. P

    Msaada wa soko la kuku wa nyama

    Mkuu check pm uweze kushare nami lile group
  16. P

    Msaada wa soko la kuku wa nyama

    Nina Kuku 300 Mpaka 400 Na hii ni bunch Moja Na naingiza kila week. Bei 6500tsh tuu ni wakubwa
  17. P

    Nawahitaji watu waliosomea Course ya Agricultural General

    Mmmh sijakupata vyema kuhusu nini? Weka swali vizuri
Back
Top Bottom