Search results

  1. Sir Teacher

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    HIVI KAMA REMOTE YA KUINGIZIA UMEME IMEHARIBIKA UTARATIBU UKOJE KUPATA MPYA??
  2. Sir Teacher

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    IVI KUINGIZA UMEME NI SHINGAPI IKIWA SEHEMU INAHITAJI NGUZO MOJA??
  3. Sir Teacher

    Miaka mitano ijayo 'betting' itaigharimu Tanzania kama taifa

    Na kiuhalisia katika uongozi wa mwenda zake, betting ndo kiwanda ambacho kiliongezeka sana kwa idadi, mana zilizuka tatu mzuka, biko, etc
  4. Sir Teacher

    DC Ole Sabaya: Jabali amelala Hayati Dkt. Magufuli

    kumbe wewe nabii?? unafahamika kwa jina la nabii nani mkuu??
  5. Sir Teacher

    Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    duuu huyu kuna uwezekano mkubwa alimpata kwa bunduki
  6. Sir Teacher

    Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Mwenye picha ya mchumba wa sabaya alete basi, na namba kama ipo tumpe pole.
  7. Sir Teacher

    Huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?

    Tangu namba za kirumi zimezuiwa situmii gb
  8. Sir Teacher

    Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

    m mtafiti, chukulia mnatoka kwene mihangaiko ndani mnaingia sa moja, akolezea mkaa hadi ukolee, apike, mle si sa tatu tayri hyo?! mmekula unatarajia muende kulala mwenzio anasema anaangalia sultani, mbali na hvo, mnapoenda kulala na mwenzio kwa pamoja kuna raha yake sio anakuja ushalala...
  9. Sir Teacher

    Nilichokikuta kwenye simu ya mpenzi wangu nimebaki njia panda, niendelee naye au nimuache?

    Kumchunguza huyo mwanamke hujakosea, wanakukosoa sikubaliani nao, hata mm ukinipa ujuzi ntajaribu kumdukua shemeji wako, ila cha kufanya mpige chini, chukua hela ingia baa kunywa lewa hela ziishe ili upate hasira kwamba hili jitu limenifanya nifulie,baada ya hapo endelea na maisha, nipe na mm...
  10. Sir Teacher

    Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

    halooo ile move haiishi bhana
  11. Sir Teacher

    Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

    Sultana inanikeera saana
  12. Sir Teacher

    Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

    yani mda mwingine unaacha bila kulipia kifurushi sa unakuta game mbalimbali za football unatamani kuangalia unalipia hapo ndo umeharibu,
  13. Sir Teacher

    Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

    kweeli bhana kikiisha silipii
  14. Sir Teacher

    Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

    Hii tamthilia wanaita SULTANA hatari kwa ndoa yani unakosa tendo, unakuta mwenza sa mbili kapika, hadi na nusu umekula unakuta mara sultana hadi sa tano huko akija kulala umelala, tendo hujapata, nipeni uzoefu nyie ratiba mmezipangaje
Back
Top Bottom