Search results

  1. B

    Rais Magufuli akutana na wafanyabiashara, atoa siku 7 kwa waliokwepa kodi kujisalimisha na kulipa

    Mh. Rais tunakuomba usiteue baraza la mawazir kwnz, ili mbadhirifu apambane nawe moja kwa moja yeyote yule awaye. Sbb mawazir nimegundua ni wadhaifu ndio madaraja wanayotumia mafisad, huwaalika mawazir ktk chakula cha usiku na kurubuniwa na kupangiwa watakacho mafisadi na kufanya watakavyo wao...
  2. B

    Rais Magufuli akutana na wafanyabiashara, atoa siku 7 kwa waliokwepa kodi kujisalimisha na kulipa

    Tumuombe tu mh. Rais wetu aendelee kupambana na wakwepa kodi ktk kila kitengo ndani ya nchi. Aandae utaratibu kila mwenye jengo la gorofa akaguliwe anafanya shughul gani? Amepataje pesa, kama ni mkopo ukaguliwe uthibitishwe, na atazamwe kama analipa kodi, analipia kodi ya jengo la...
Back
Top Bottom