Search results

  1. T

    Kutoa hela kwa boyfriend

    Mimi mwenyewe kwa upande wangu sikubaliani na swala la kuanza kukopeshana na kushare biashara na mwanaume ambae siyo mume wako kila mtu afanye vtu vyake mwenyewe wanaume wengi cku hizi wanapenda sana mtelezo kuliko hata wadada
  2. T

    Kutoa hela kwa boyfriend

    Nina rafiki yangu ana kazi nzuri tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba hela kama mara mbili hivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho huyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha huyo rafiki yangu kuwa siyo...
  3. T

    Tuliotelekezwa na baba zetu tukutane hapa

    Duuuh huu uzi naona unanifanya nitoe tu machozi kwakwel binadamu tuna mambo mengii katika mioyo yetu.
  4. T

    KKKT kurejesha serikalini shilingi milioni 129 baada ya kubanwa na TAKUKURU

    Tunafuta iyo dhana ya utegemezi kwenye makanisa watanzania lazima mjifunze kusimama kwa miguu yenu.
  5. T

    Unapotembea na mume wa mtu, kubali wewe ni mwanamke daraja la pili

    Duuuh nimekupenda bure kwakwel kama daraja la kwanza nje anafuata nini?
  6. T

    Post graduate ya education

    Aiya ngoja asubir
  7. T

    Post graduate ya education

    Aaaah!!!!maana nina ndugu yangu ana hope kubwa sana ya kupangiwa kazi amesoma iyo post graduate ndo mana nilikuwa nahitaji kujua zaidi
  8. T

    Post graduate ya education

    Ooooh aya asante
  9. T

    Post graduate ya education

    Oooh kwaiyo hawa wa arts je?
  10. T

    Post graduate ya education

    Mimi sifahamu kama wanaendelea ila nilisikia kuwa ile ilikuwa program ya muda tu kipindi serikali haina walimu wa kutosha
  11. T

    Post graduate ya education

    Naombeni mnisaidie wana jamvi eti serikali bado inaajiri hawa walimu waliosoma post graduate ya education?na kama ndiyo ajira za ualimu zinatoka lini?
  12. T

    Kujiunga Chuo baada ya kumaliza Kidato cha Nne

    Sasa si utoe ayo maelekezo hapa ili na wengine wakivutiwa waje au ndo vile vyuo visivyoeleweka ndo mana mnaogopa kusema mbele za watu
  13. T

    Baadhi ya Mbinu za Kumridhisha mwanaume wako kimapenzi

    Umenichekesha sina mbavu hata kidogo lool wanaume mnaangalia vingi jaman
  14. T

    Mpenzi wake amechukua fani ya Engineer, na anaogopa atakuwa mchafu

    wewe muone,,,kwaiyo sociologist tuna low capacity of thinking no thank you my dear.
  15. T

    Experience yangu kama baby moma

    Kwani nyie huwa hamna choice jaman?maana choice zetu sisi ndo huwa povu linawatoka utazani nyie hamchagui
  16. T

    Baadhi ya wanawake na bikra

    Tena uyo ni wa kufukuzia mbali kabisa,mwanaume anaekupenda na mwanaume jasiri huwa anajiamini na mapungufu yako anayachukuwa na.kuyaboresha yawe mazur ila hawa wa bra bra wa kutaka bikra lool waendelee kutafuta
  17. T

    Baadhi ya wanawake na bikra

    Hah hah hah hah jaman mweeh siyo zarau bwana nimejisemea tu ukweli
  18. T

    Baadhi ya wanawake na bikra

    Ni wajinga maana wanafikiria apo tu hawaoni mbali kabsa ndiyo maana wanaume wengi saivi hata malezi ya familia zao ni zero kulia lia tu.
  19. T

    Baadhi ya wanawake na bikra

    Huu mfumo dume unadumaza tu akil za watu wasiojielewa kwakwel reasoning capacity inakuwa ndogo sana ndiyo maana unakuta msichana akiachana na mume wake mnaanza maneno ana tabia mbaya na bra bra nyingine ni sawa na hapa mnasahau kuwa hata wanaume huwa wanakosea kwakwel tena tu, aya mtu...
  20. T

    Baadhi ya wanawake na bikra

    Loool kwaiyo nyie ndo hamstahili kujitunza aaah,,yan unajua kuna vtu vingine vikiongelewa mtu inabidi ushangae sasa kupata shida na mapovu mengi kutoka ni uwende utafute hao wenye bikra maana hao ndo waliojitunza
Back
Top Bottom