Search results

  1. L

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Nataka nifike hii rekodi ume ni inspire.. Count down day 12...
  2. L

    Licha ya kupewa kashfa lakini bado vitu hivi ukianza kuvitumia ni ngumu kuacha!

    Sa kupata msichana wa kukupa mbunye mda wowote ndio ugumu wenyewe huo.. Mana inabd uwe unambato si chini ya siku 4 kwa wiki
  3. L

    Burundi raha sana, Windhoek ni 1500 ya Kitanzania

    Weka picha au uzi ufutwe tumechoka chai zako
  4. L

    Wanaume! Mwenzetu kashaangukiwa na kitu chenye ncha kali

    Unakubali vipi toto halifanani na wewe au ndugu yoyote.. Kwanza watu wazima waliokulea ukipeleka mtoto tu chap washausoma mchezo
  5. L

    Siku ya kesho nina safari ya kwenda Bujumbura ~Burundi, dua na maombi yenu nifike salama

    Usikimbie uzi huu tunanataka stori za huko ili na sie siku tukienda tusixubae zubae
  6. L

    Mtihani wa kukomoana tume ya utumishi wa ajira za Mahakama.

    Ningepata zero hapo... Kwa kweli wamewapatia ha ha ha ha vijana hatufatilii mambo tunapenda ngono na ku bet tuuu kutwa tupo kwny uzi wa Rikiboy...
  7. L

    Jana nimefanya risk ya kipuuzi sana

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. L

    Leo sijaenda kazini na sijatoa taarifa, nimechoka

    Laki 7.. Wengi wanalipwa chini ya laki 3
  9. L

    TEMESA wakubaliana na Azam Marine kuvusha abiria Kigamboni (Ferry)

    Kinabeba watu wangapi hiko kiboti cha AZAM na zipo ngapi..?
  10. L

    Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Hapa ndipo alipofeli ukiacha kuchomeshwa na wenzie uchaguzi wa gari pia sio sahihi kwanza model hzo serikali ilishapiga bei karibu yote mengine yapo juu ya mawe na most of them zilikua rangi nyeupe
  11. L

    Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Noma sana inaezekana kuna kupishana maslahi wamechoma
  12. L

    Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Tatizo hyo cruiser model ya zamani ndio mana kaminywa
  13. L

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    2014 september ndio DA ilianza
  14. L

    Mufindi: Watu 18 wamefariki katika ajali ya Coaster na lori

    Ajali haina kinga ila ka huna roho ngumu kwny bus usikae mbele asee jamaaa wanaovateki kihasara sana hata mkifika salama kosa kosa za uso kwa uso na malori huwa kibao.... Mtu anaovateki semi 4 afu anarudi kwake dk ya mwsho kbs unasikia vuuu
  15. L

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    D ina miaka 8 so had E iishe 2031 ndio utapata F
  16. L

    “Mwanyamala kwa wahaya” ni zaidi ya Sodoma na Gomora!

    Nielekezeni nashuka kituo gani kufika hapo mwananyamala kwa wahaya na mie nifanye research wakuu
  17. L

    Mara ya mwisho kusindikizwa na familia yako yote kwa safari, ilikuwa lini?

    Sisi wanafamilia owte lazma waamke siku ya asubuhi ya safari inaombwa dua/ sala ya pamoja ya kumuombea anayesafiri afike salama bada ya hapo mmoja tu ndio amasindikiza hadi stand kama kuna mizigo mingi ka hakuna unasepa one man army
Back
Top Bottom