Search results

  1. mziguamnguu

    Orodha ya matajiri duniani kwa mujibu wa Forbes 2016

    MASAMAKI $ 05 B TRA TAMBAZI SIO JIPU, TANZANIA.
  2. mziguamnguu

    kituko cha askari moroko mataa

    Duuuu kazi tunayo na huu uandishi!!
  3. mziguamnguu

    Mjue Simba

    Ninavyofahamu Tiger ndie mkubwa katika hawa jamii ya mapaka. Niko tayari kurekebishwa.
  4. mziguamnguu

    Anasa darini akijaribu kuiba Dukani

    Alafu DONALD TRUMP anatuona watu weusi hovyo wakati tuko juu kwenye teknolojia kama hii kudadadeki.
  5. mziguamnguu

    Ni msichana gani aliyekuvutia wakati wa enzi za ujana wako wakati upo shule, lakini hukumpata?

    Daaaah kuna binti alikuwa anaitwa Ashura aiseee nilimkosa kabisa.
  6. mziguamnguu

    Elimu ya Bongo ni zaidi ya Komedi

    Hili ndio tatizo la mtu anaposhindwa kukutana na mchepuko wake kunakosababishwa na kushtukiwa na mkewe basi anakuja kutupumzikia humu maana anakosa la kufanya!!
  7. mziguamnguu

    Hivi kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi?

    Jamani kuwa na video za po.no home au video kwenye simu ni dhambi?
  8. mziguamnguu

    Tafiti: Matumizi ya condom yamepungua kwa kiasi kikubwa Tanzania

    Ban itasalimisha huu uzi kweli!!?tusubiri tuone.
  9. mziguamnguu

    Majangili yaitungua helikopta na kumuua rubani huko Maswa

    Hiyo chopa ni ya mwekezaji mmarekani ambaye anafanya shughuli za utalii eneo hilo na anaruhusiwa kushiriki doria hivyo hiyo chopa yake ilikuwa katika doria na askari wanyamapori walikuwa chini na magari wakisubiri wapewe cordinates na huyo rubani baada ya kuruka na kuona wapi mizoga ya tembo...
  10. mziguamnguu

    Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

    Acha ubonobo wewee umetumwa au!!?
  11. mziguamnguu

    Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

    ha ha ha ha ha haaaaa daaah waungwana tupunguziane kuvunjana mbavu basi duuuuu ha haaaaa
  12. mziguamnguu

    Majangili yaitungua helikopta na kumuua rubani huko Maswa

    Mkuu ni majangili ndio wameitungua hiyo chopper ya watu wa wanyamapori na kuua rubani aliyekwenda kuwachukua askari wanyamapori waliokuwa doria.
  13. mziguamnguu

    Majangili yaitungua helikopta na kumuua rubani huko Maswa

    Ninachokiona sio lazima sana jeshi ni hao askari wa wanyamapori wapewe vifaa, mafunzo zaidi na mazingira bora ya kazi yao yaboreshwe nawafahamu hao askari ni wazuri sana wakiwa kwenye kazi zao porini. Wanakosa support tu mfano hapo askari wanyamapori angeua jangili alafu baadhi wakakimbia...
  14. mziguamnguu

    Majangili yaitungua helikopta na kumuua rubani huko Maswa

    Habari zenu waungwana, Naomba kujuzwa kwa yoyote aliye na uhakika na hili kuwa kuna Rubani wa Helicopter ndugu Roger raia wa Uingereza kupigwa risasi na majangili na kufariki katika hifadhi ya Maswa karibia na Serengeti. ---------- Poachers shot and killed Capt Roger, a helicopter pilot who...
  15. mziguamnguu

    'Madada poa' barabara ya Bamaga Sinza

    Wanasaidia kupunguza stress za watu jombaa!!
  16. mziguamnguu

    Ishu ya Polisi kubaka, msichana asimulia (audio)

    ha ha ha haaaaa saa mbili mpaka nane jamaa anakula mashine tuu sijui alikumbuka naniliu masikini ya Mungu!!
  17. mziguamnguu

    Ishu ya Polisi kubaka, msichana asimulia (audio)

    Ni kweli hatutetei na tunaukataa ubakaji daima na milele, yawezekana hili limetokea lakini hili linahitaji uchunguzi wa hali ya juu kama ulivyo patashaka McLover. Kwanini hakuwa tayari kupokelewa na kaka yake!?basi hata angekubali asindikizwe na kaka yake hadi huko alipokuwa willing kwenda...
  18. mziguamnguu

    Msaada: Jina la mafuta maalumu kwa watu wenye ualbino

    Sawa ngoja waje wanayoyafahamu wakutajie.
Back
Top Bottom