Search results

  1. N

    Mbowe: Hatutapinga kila jambo, Rais Magufuli anafungwa mikono na Kamati Kuu ya CCM

    hawajielewi hawa jamaa, washapoteza sifa ya kukemea ufisadi na rushwa.
  2. N

    Wahasibu nipokeeni, nimekuja kuwaponya.

    ndo mambo ya kimasoko yalivyo mkuu, utafiti kwanza kabla hujaweka nguvu zako zote ili usije ukapotelea humo.
  3. N

    Wahasibu nipokeeni, nimekuja kuwaponya.

    mkuu bado najipanga, nilitaka tu nitoe taarifa ili pia niweze kuforecast demand. Nipatie muda.
  4. N

    Wahasibu nipokeeni, nimekuja kuwaponya.

    Za mida ndugu zangu, naomba nijitambulishe, kwa jina naitwa NBAA, nimekuja kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutoa elimu ya uhasibu kwa wale wanaofanya mitihani ya Board na wote wanaohitaji elimu hii kama waajiliwa na wengine. Nitakuwa nauza material kwa njia ya softcopy. Karibu wote.
Back
Top Bottom