Search results

  1. kuwese

    Waziri Lukuvi: Marufuku kuzika kwenye vihamba Kilimanjaro

    Nikazikwe manispaa??? Mimi sio KYASAKA bana, Tuna bonge LA ardhi akuje aone, hazikwi mtu manispaa hapa, chaaaa!! Mbtuuuuuuu.
  2. kuwese

    Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

    Pakistani ni wapashtuni na wahindi bhana. Hao waarabu niaje??
  3. kuwese

    Serikali kumkaanga Cyprian Musiba kwa kuandika habari ''Vigogo 14 hatari kwa nchi watajwa''

    Hii imekaaje??? Kunya anye kuku bata kaharisha??? Walipotukanwa wale akina nanihiii ulikaa kimya Basi na hili la vigogo 14 akae kimya.
  4. kuwese

    Bwana Heri jiandae mapema, unatafutiwa uchochoro wa kutokea

    Duh! Beans Heri ndo nani
  5. kuwese

    Shule ya mafunzo ya mbwa

    Nnae bado mdogo niue nini
  6. kuwese

    Kwa waliokojoa kitandani tu!!

    We acha tu, deibii tumesepa yeye atatokaje[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji13]. MAMA alikuwa shujaa wetu manake alitunyuka all time we what? We irrigate our bedroom.
  7. kuwese

    Sera Mpya ya ardhi, Kaburi jipya la CHADEMA

    Hili la ardhi kuwa mali ya serikali hata mimi silitaki kabisa, ardhi ni mali yangu iwe na madini, mafuta hata misitu, alaa,. Leo ukigungua madini faster usheondolewa, """BULYANGHULU"""
  8. kuwese

    Kwanini Lema hakuwepo uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuwasilisha matatizo yanayoikabili Arusha?

    Hujielewi wewe, Mh kasema yeye ni wa kijani wale wengine hawajui Lema angeenda kufanya nini.
  9. kuwese

    Spika Job Ndugai akiri kuyafahamu madai ya kambi ya upinzani bungeni, amwandikia Mbowe barua kuona namna ya kuyatatua

    Sijaelewa hapo kwa ulinzi0, swala LA Lisu lilikuwa LA nini?????.
  10. kuwese

    Juliana Shonza tulikuonya ukapuuza, sasa UVCCM wanakung'oa

    Huyu Shonza hapendi chama LA wana, amin matendo yaonyesha.
  11. kuwese

    Juliana Shonza tulikuonya ukapuuza, sasa UVCCM wanakung'oa

    Mimi nitabaki na msimamo wangu, mgeni unaekaa nae ni adui yako pasi na mashaka.
  12. kuwese

    Uhaini unalinyemelea Taifa, ndugu mtanzania kataa kuwa popo

    Sifa zikizidi ujue utashindwa tu, once nilifurahi nikajua yes tumepata but now I'm prove wrongly turn, hekima na busara ii wapi???!!! Ubabe na kiburi cha uzima kina mwisho.
  13. kuwese

    Tundu Lissu: Sijasaini nyaraka yoyote TLS toka nipigwe risasi

    Swine ni kiburudisho kwetu, wewe sijui una maanisha nini?!!?
  14. kuwese

    CCM inahitaji kuanza kujilinda dhidi ya njama za kuichafua

    Wanao mshauri na kutaka kuua upinzani Tz ndio wabaya WA CCM, wanaficha nini, wanaogopa nini upinzani? Je matatizo yetu yanaletwa na upinzani??? Kumbuka adui WA CCM anaishi ndani ya CCM na SIO huko upinzani, believe or not. [emoji109] [emoji109] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
  15. kuwese

    KENYA: Spika wa Bunge atupia mbali muswada wa kumng'oa Jaji Maraga na Makamishna wa Mahakama kuu

    Acha uongo WA dhahiri, ugumu UPI unaosemea???? Acha uzwazwa njoo uone WA Tz aalivyojazana KENYA, alaah.
  16. kuwese

    PAMBANIENI UHURU; Ameandika Baba Askofu Steven Munga

    Huyu Bob Marley BWANA, STAND UP FIGHT FOR YOU'RE RIGHTS, mmh taratiibu KWA mbaali Kuna pambazuka
  17. kuwese

    Dhima ya mchawi ni kuharibu na kutesa sio kutengeneza

    Chalii wetu WA home anao wachawi wake kamtonya mwana (((HALOGEKI MAN))), MWANA KANYWEA. NYWIIIIII.
  18. kuwese

    Tafakuri: Bosi wako anapokuambia "Halogeki" nini tafsiri yake ndani ya Utumishi wa Umma?

    Farao na wachawi wake waliteswa na watu wawili tu, MUSA NA HAROUN, SEMBUSE YEYE ANAYEMKUFURU MUNGU??? KIBURI CHA UZIMA NA MJIVUNO YAKE YANA MWISHO MBELE ya MUNGU.
Back
Top Bottom