soma michango ya wakaka na baadhi ya wadada humu utajua haiko kotekote....maisha ni mke kumtumikia bwana tu....mnh,karibu sana VOR where have you been...tumemiss michango yako......
mie nigeuchubua,.....ila ningebaki nayo hivyohivyo kuhakikisha mwenzangu hapati PAIN even though it means i will stay with it for the rest of my life....huu ndio upendo lol
hapo nilipobold mwanajamii huoni na wewe umeingia kny huu mtego wa kuwa mtumwa kwa kuogopa nyumba ndogo?sijakataa usimfulie mumeo ninachopinga in return mbona mume hajishughulisha na yeye kukufulia siku moja moja???hayo mapenzi mapenzi gani ya upande mmoja???kwani yeye ndio hapendi akuone...
mnhhhhhhhhhhhhhhhhhh........
pole sana time is the best healer...
with time utamsahau tu......
jichanganye kama wewe sio mtu wa kutoka anza sasa kutembelea sehemu zile social kama pub/club...sehemu za michezo nk utapata tu wa ubavu wako...pole sana....
mapenzi sio mashindano...ila mapenzi pia si utumwa kama wote mko in love then mtakuwa rensponsible kwa mambo yenu huyu akishika hiki,mwingine atashika kile ili siku ziende......
sidhani kama ni wajibu wa mke kuhakikisha mumewe anakuwa smart all the times,ni wajibu wa mume kufanya hivyo....na mke...
hahaha lol bado anafanya hivyo au uliachana naye??na wakina kaka wakipenda huwa wanafanya nini?au mapenzi yako one sided ni wakaka tu ndio wanaopaswa kufuliwa nguo,kunyooshewa out of love?:dance:
pole sana Dinnah....bora amejua na akakuambia mapema unaweza mpata mwingine,kuliko mngeharakisha harusi afu baada ya watoto kadhaa ndio angekutamkia hayo......again pole sana.....:grouphug:
nimegundua hili ni tatizo la wanawake wengi,wanakuwa kwenye mahusiano kimachale machale saa yoyote mumewe anaweza kuwa na nyumba ndogo.....hofu hii imepelekea kuwafanya kuwa watumwa wa ndoa zao,atajitahidi amtreat mumewe kama mfalme/bossi lol,atamfulia,atamnyooshea nguo,atajitahidi awe anaamka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.