Search results

  1. M

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Huyu amepewa uwaziri kwa sababu alimsaidia pombe kupiga bao la mkono ili ashinde. Kwa hiyo ningeshaa sana kama asingelipwa fadhila.
  2. M

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Duh! Wezi wa Escrow, makontena na mabehewa feki wamerudi tena.
  3. M

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Hata siku moja nyoka hawezi zaa kenge
  4. M

    Mgao wa umeme mikoa mbalimbali

    Unawazia wenzako tu kufukuzwa. Ungekuwa wewe ungekuwa tayari kufukuzwa?
  5. M

    Joto kali sana jiji la Dar, kulikoni?

    Joto na mvua bora nini.
  6. M

    Mwalimu wa kike aliyeko tayari kwa mahusiano

    Kwani mwalimu kwenda club ni kosa?
  7. M

    Mwalimu wa kike aliyeko tayari kwa mahusiano

    Umri miaka isizidi 24 lakini inaweza pungua. Mimi ni 30. Aliye tayari anipm kwa maelezo zaidi -
Back
Top Bottom