Search results

  1. T

    Mapinduzi ya uchumi wa viwanda duniani na ndoto za Rais Magufuli

    Karibu sana mweshimiwa na pole kwa yalio kukuta
  2. T

    Wapinzani kumpeleka kasi Magufuli

    Hivi ni kweli mama salma kikwete ndio mhusika mkuu wa vimemo bandarini? Imasekana alikuwa anavusha makontena bila ya kulipa kodi kwa kutumia taasisi yake ya WAMA
  3. T

    Rais Magufuli be careful with neoclassicals Ndulu na Lipumba

    Mweshimiwa umesomeka sana greater thinker ndio watakuelewa nakushauri post yako uipeleke kule kwenye lilejukwaa utapata mawazo mazuri sana ambayo yatakuwa msaada mkubwa sana kwa raisi wetu
  4. T

    Kamati kuu (CC) ya CCM yampongeza Rais Magufuli, yamtega...

    Huwa najaribu kusoma post zako sizielewi kweli CCM wamepoteza dira ya watoto wa nyerere kabisa yani inabidi ujitafakari Jackson
  5. T

    Mafisadi papa ndani ya CCM kumkwamisha rais?

    Kikao kimeitwisha kesho na ni dharura sana na hints. Ni kwamba kwa nini magufuli anataka kujumuisha wapinzani ndani ya serikali yake kwa kuwapa uwaziri
  6. T

    Tibaigana: Huyu ndiye Rais niliyemtaka

    Team lowasa imetuletea mtu makini viva lowasa
  7. T

    Mpaka mwaka 2017 watanzania 99.59% watakuwa CCM

    Vice versa is true na ni kwa asilimia kubwa sana coz akubaliki na wanaojifanya hii nchi ni ya kifalme
  8. T

    Magufuli atashindwa kama Nyerere

    Una hoja za msingi sana but ninachoona na kuhisi unaupinzani usio kuwa na tija na magufuli then inaonesha u mdini sana na inawezekana kabisa ni mtu hatari sana katika hii nchi ukiambiwa uuwe ili uwe bilionea hapa tanzania haushindwi kufanya hivyo.
  9. T

    An open letter to President Magufuli

    Kaka umeongea point sana nakushauri tuu translate kwa kiswahili
  10. T

    Magufuli, a one man show nani atamfunga speed governor akikosea?

    Kulia lia kwako kunakufanya kuondolewa u wanaume wako na kutiliwa shaka
  11. T

    Magufuli, a one man show nani atamfunga speed governor akikosea?

    Umepokwa ugali sio na vijisafari vya nje hakuna pia inawezekana ulinufaika sana kifisadi awamu iliyopita sass hela zimepotea na hata kukufanya ushindwe kwenda sehemu za starehe ulizozoea shame on you.
  12. T

    Afisa TPA: Vigogo walitumia "vimemo" kupitisha makontena yao ya ndugu zao na ya wapendwa wao

    Hahhahahaha ilo dongo utajuaje kama ni ccm au umemaanisha kwa upande mwingine wa faizafox wa mguse unate.
  13. T

    Magufuli yuko na wananchi, vyama vya siasa vimepotea kabisa

    Ninapingana na wewe magufuli yupo ccm but asilimia 90 ya waliomsaidia kuingia ikulu wanampinga coz karibia wote walikuwa wapiga dili. Na wasipo kuwa makini hao wachache wanaomkubali magufuli ndani ya CCM wanaweza magufuli anaweza pata shida sana kupita ndani ya chama katika uchaguzi wa 2020 na...
  14. T

    Mgogoro Zanzibar unachelewesha kutangazwa kwa Baraza la Mawaziri

    Kaka uwaziri umekupitia kushoto au yule uliyemtarajia kuwa waziri na wewe uneemekee hapo hana dalili za kupata uwaziri jitume kidogo maisha bila ya kupewa dili na wanasiasa yanawezekana....
  15. T

    Uchaguzi 2020 : CCM kumpiga chini Magufuli

    Kuna uwezekano mkubwa sana akaanzisha chama chake na kukubalika sana na wananchi ndio utakuwa mwisho wa ccm.
  16. T

    Rais Magufuli bado sana watanzania ni vipofu wa fikra

    JK Team at work mbona mmechelewa sana kuanzisha threat za kumpinga asiye chaguo lenu
  17. T

    Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    Yani wewe mpinzani pure yani raisi wako mstahafu unamuita "RAHISI KIKWETE "
Back
Top Bottom