Search results

  1. beatrice7

    Haki za binadamu, muokoeni dada teja omba omba Kinondoni Manyanya

    Haki za binadamu wapo kukosoa serikali tu, wewe hujui hawa ni wapinzani waliojificha kwenye kakimvuli kahaki za binadamu? Watakucheka watu...
  2. beatrice7

    Jinsi ya kupata UK Visa

    Allergy na maandishi kivipi mkuu? Mbona hata hapa anasoma maandishi! Ungeniambia tatizo ni uelewa ningekubaliana nawewe.
  3. beatrice7

    Uchaguzi wa mwenyekiti wa CCM Taifa haki itendeke

    Yeye tu bhana Mimi naogopa
  4. beatrice7

    Uchaguzi wa mwenyekiti wa CCM Taifa haki itendeke

    Ficha mapengo yako babu unanitisha[emoji126] [emoji126]
  5. beatrice7

    Uchaguzi wa mwenyekiti wa CCM Taifa haki itendeke

    Mambo yasiyo kuhusu unayachkonoa ya nini? Wewe si mwanachama wa ccm pia si msemaji wa wanachama kiherehere cha nini? Fuatilia yanayokuhusu..mengine utaitwa mbea soon.
  6. beatrice7

    Masters of Religious Studies with Education

    Unakuaje interested na kitu ambacho hukijui?
  7. beatrice7

    Inafaa Rais Magufuli atuombe msamaha raia wake sakata la sukari?

    Ukweli gani zaidi ya hujuma? Kama sukari isingefichwa unadhani haya yangekuwepo? By the way mim si ccm Ila nimpenda haki kama rais wangu...tunaamini dhamira ya rais ni njema sana so sioni kama nisawa kuanza kumsemasema mtandaoni..
  8. beatrice7

    Inafaa Rais Magufuli atuombe msamaha raia wake sakata la sukari?

    Wakati JK alipokuwa akitupuuza mlisema mengi Leo hii rais anachukua hatua tena za wazi zenge dhamira njema mapovu yanawatoka..mim nawaona kama vile waropokaji tu
  9. beatrice7

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Tunangojea mrejesho usisahau
  10. beatrice7

    Inafaa Rais Magufuli atuombe msamaha raia wake sakata la sukari?

    Wafanyabiashara wameamua kuhujumu serikali wala hamna haja yakutokwa na mabovu humu, binafsi na unga mkono juhudi za serikali najua tatizo hili ni la kitambo kidogo then Hali itakuwa ya kawaida. Acheni maneno ya dhihaka na midhaha na mkumbuke kuwa hii si serikali dhaifu mliyoizoea serikali hiii...
  11. beatrice7

    Majibu kwa hotuba ya Lissu Bungeni

    Halafu hii kutafuta umaalufu huwa sometimes Ina waharibia vibaya..yaani ukawa sasahiv wanatapatapa hawana pakushika. Tuna waheshimu lkn itafika mahali tutaanza kuwadharau maana mmekosa hoja zenye mshiko..muache rais afanye kazi.
  12. beatrice7

    Nasitisha kwa muda kushabikia Simba Sports Club ila wakiyafanyia kazi yafuatayo nitarudi!

    Ahahahahahaha! Anayelalamika ndiye kakalia..naye simwngine ni mashabiki na wapenzi plus wanachama wa timu ya matopeni aka simba wa mjini.
  13. beatrice7

    Nasitisha kwa muda kushabikia Simba Sports Club ila wakiyafanyia kazi yafuatayo nitarudi!

    Kwa bahati nzuri sikuwa nazungumza nawewe, punguza tabia za kike kudaka maneno yasiyokuhusu..oooh sorry nilisahau kama hii ni tabia yenu wamatopeni..hata wewe kama umechoka kuishi matopeni tunakukaribisha huku lkn plz ukija tabia za huko ziache hukohuko huku ni soka tu tena la kimataifa siyo...
  14. beatrice7

    Nasitisha kwa muda kushabikia Simba Sports Club ila wakiyafanyia kazi yafuatayo nitarudi!

    Kumbe Jery Muro anawaumiza wengi! Point namba 12 inaonesha kama umetumwa na Dewj, na point 15 inaonekana nawewe pia unapenda majungu...anyway kama umechoka kukaa matopeni karibu kwa wa kimatafa.
  15. beatrice7

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Pole Leah wa watu, nikusifu kwa hekima na subira uliyonayo juu ya jambo hillli, naweza kusema wewe ni strong woman binafsi nimejifunza mengi kupia sakata lako. Naamini kama ulivyotumia hekima kwa hatua za awali hata hapo ulipobakiza unatumia hekima pia..fuata moyo wako
  16. beatrice7

    Viongozi wa CHADEMA chukueni hatua mapema

    Umeongea ukweli lkn nikupe ukweli uujue chadema haina dhamira ya dhati kupambana na ufisadi kama anavyojinasibu ukweli nikuwa wanatumia kama gia kupata kibari kwa wananchi waonekane wanaweza kuwa na jipya. Hawa jamaa ni wabaya sana siku tukilogwa tukawapa nchi hutakuwa tumekwisha vbya.. Wapo...
  17. beatrice7

    Leo ni siku ya nne ya ndoa yangu

    Jamani emu muacheni z inatosha sasa atakuwa amewaelewa
Back
Top Bottom