Search results

  1. J

    Nampenda lakini naogopa kumwambia!

    Labda ni Mimi?
  2. J

    Leo naolewa

    Pouwa
  3. J

    Leo naolewa

    Nimeambiwa uujuze umma wa jf harusi yako ni lini
  4. J

    Leo naolewa

    Valentina Nina Ujumbe wako
  5. J

    Afumwa akifanya mapenzi ofisini

    Jipu la kwapani au makarioni?
  6. J

    Wafukuzwa kazi baada ya kufumwa wakifanya mapenzi ofisini

    Bi moniccca punguza ukali wa maneno plziiiii
  7. J

    Leo naolewa

    Wanaume wa dar wewe huwawezi..you better keep[emoji40], usiige utaumbuka
  8. J

    Leo naolewa

    Tayari umeshaingia kwenye ndoa now kazi kwako
  9. J

    Wafukuzwa kazi baada ya kufumwa wakifanya mapenzi ofisini

    Apandacho mtu ndicho atakachovuna..
  10. J

    Afumwa akifanya mapenzi ofisini

    Kizazi cha zinaa hichi!
  11. J

    Magufuli Alivyodhaniwa Kabla ya Urais na Alivyo Sasa

    Sawa yeye afanye kazi tu
  12. J

    Rais alidanganywa? Vitambulisho vya NIDA vina signatures

    Acha kuongea kwa jazba, tulia jieleze utaeleweka hata kama umetumwa na Membe mwenyewe. Haihiji kuwa na degree kuelewa juu ya sakata hili, labda nikuulize maswali mawili: Unakumbuka aliyempa kiburi Idd Amini Dada kutuvamia na kutusababisha tuiingie vitani mwaka 1978 kule Kagera? na mbona huyo...
  13. J

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Mimi naona umekurupuka kuposti hichi ulichoposti hapa, au unaweza kuwa wewe ni mpinzani aliyejipanga kukosoa kila kitu as if wewe huna mapungufu..vingevyo unaweza kuwa ni miongoni mwa wenye majibu. Muache rais afanye kazi yake.
  14. J

    Natafuta ubavu wangu

    Miaka mingap labda
  15. J

    Wabunge wetu wa UKAWA wakitoka nje bungeni huenda wapi?

    Samahi best sikujua kama Nina ujinga ndo kwanza wewe uniambia leo. Na pia nadhani unahitaji msaada usione haya kuomba msaada
  16. J

    Natafuta ubavu wangu

    Upunguaje mumu?
  17. J

    Natafuta ubavu wangu

    Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa Neema ya uhai na afya. Pili napenda kuchukua wasaa huu kuwashukuru wote wanaoifanya jamiiforum kutufanya tupate pa kusemea. Tatu nawashukuru wadau wote wa jukwaa hili na jamiiforum kwa ujumla, kweli wadau mmekuwa na mawazo na michango inayotia moyo na...
Back
Top Bottom