Search results

  1. B

    Nisaidien-kampun inakufa hamna wateja

    Sisi (mimi na partner wangu) tulikuwa tupo kwenye mchakato wa kuanzisha kampuni ya Services za repair and maintance ya Electrical pamoja na plumbing. Kampuni moja yenye division mbili tofauti namely, Electrical and Plumbing. Hatujaanzisha bado tulikuwa kwenye kukusanya data. Kama upo tayari...
  2. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Ahsante sana kwa mawazo yako mazuri sana. Ntazingatia.
  3. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    RFID ni rahisi kuiuza kutokea nyumbani. Unatakiwa uwe mtu wa kujituma na unaeweza kuuza "independent". A businessman on your own world. Sioni sababu yoyote ya kumuweka sales executive au sales engineer a report ofisini kila siku wakati tunaweza kum "equip" huko nyumbani kwake! Contracts na...
  4. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Hiyo RFID solution ya ng'ombe nimeilengesha kwako (ole)!
  5. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Hapo ndio kwenye tatizo, hakuna niliposema iuzwe "online" au kuna mahala umeona nimesema iuzwe "online"? RFID si kitu ghali kama unavyofikiria, na Tanzania ipo na inatumika kwa sasa, na soko lake ni kubwa sana, iwe Tanzania au kwingine kokote kule. Mfano mmoja mdogo sana ambao Tanzania unaweza...
  6. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Naona wengi wana hamu ya kujuwa hii RFID ni nini hasa, naomba fata hii link (hiyo hapo chini) itakupatia PDF document inayoelezea vilivyo ni nini RFID na wapi hutumika na kwa nini hutumika: http://www.falkensecurenetworks.com/PDFs/A_Primer_on_RFID.pdf
  7. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Kinachouzwa ni "RFID Solutions". Soma post #1 utayakuta yote unayoyauliza.
  8. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Ahsante sana. Naomba tembeletea tovuti yetu: Falken Secure Networks
  9. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Umekosea, hapafanywi marketing hapa, RFID haina haja ya marketing labda kwa asiyeijuwa. Hapa wanatafutwa wauzaji wakakusanye orders tu. Kuhusu kupopolewa, "challenges are opportunities", wee kila ukipopoa sisi ndio furaha yetu. Nani aliokwambia JF hapafai kwa haya matangazo ya kutafuta...
  10. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    1) Justification yetu ni very simple, hatumwambii mtu ajiunge kwa kulipia pesa, au atutumie pesa, au kuna charge yoyote ya kulipia utayotakiwa uilipie. Post ya mwanzo tumesema "No hidden Charges". Sasa sijui "justification" gani zaidi ya hizo? labda uniambie uitakayo. 2) Ya Richmond waachie...
  11. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Ahsante kwa kunijuza yote hayo. WaTanzania ni wakina nani? nadhani unajuwa hilo, na narudia tena, kujieleza si tatizo, lakini tatizo ni kama kiingereza hukijuwi basi itakuwa vigumu kufanya kazi nasi. Hatutokuwa na wakati wa kukufundisha kiingereza na "solutions", "technical manuals", "user...
  12. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    1) Nadhani mpaka sasa kinachokutatiza ni kuwa hujaelewa maana ya "sell from home" unaichanganya na "kuuza online". La hasha, "sell from home" tunayoimaanisha hapa, ni kuwa huna haja ya ku-report ofisini, unaanzia kuuza nyumbani unamalizia kuuza nyumbani, kwetu zinakuja "reports" na support...
  13. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Ahsante sana kwa post yako nzuri, ntajaribu kukuelewesha kadri ya uwezo wangu kwa yote uliyoeleza/uliza. 1) Kuhusu mtu atauza nini? Nadhani post yangu namba moja imejieleza vizuri tu, na ukiisoma vizuri hiyo post, chini kuna maelezo yanayosema "If you are interested and for more information: "...
  14. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Kama hujaelewa RFID ni nini na lugha ya kiingereza haipandi basi dada hii kazi tunayoitangaza haikufai. Wala usituite matapeli kwa kuwa tu, lugha huielewi. Ukitaka maelezo zaidi tembelea ofisi zetu, anuani zake zipo katika bandiko #5 hapo juu. Kama ujuavyo, si kila kazi ni kwa kila mtu, kila...
  15. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Ahsante kwa kututusi lakini tunakuomba urejee post #5 hapo juu. Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
  16. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    1) You can sell anything from home, a) you just have to manage your time at home, you have to restrict yourself to set up your time of house chores and your business time. A sales person is a business person, all successful business persons are very serious in their works and their schedules...
  17. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Thank you for your good question; Radio-frequency identification de-modulation (RFID) is a technology that uses communication through the use of radio waves to exchange data between a reader and an electronic tag attached to an object, for the purpose of identification and tracking. It is...
  18. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Kwanza kabisa, nna-uhakika huelewi RFID ni nini, laiti ingekuwa unaelewa basi usingeihusisha na "kufish". Pili, nakuomba tafadhali futa kauli yako ya kutuita matapeli. Napenda kukufahamisha kuwa sisi ni wafanya biashara wa halali na tunafanya biashara zetu kihalali tuna office zetu kihalali...
  19. B

    Work from Home, Now in Tanzania.

    Business Services & Consultancy Ltd. (BSC), based in Dar Es Salaam, Tanzania. Has the following "work from home vacancies": Sales Executive / Sales Engineer RFID Solutions. Selling RFID solutions. BSC has partnered with FALKEN Secure Networks in selling their products in Tanzania. FALKEN...
Back
Top Bottom