Search results

  1. Mwalimu Mkuu

    Uhuru wa kujieleza - Double standard.

    Heshima kwenu Wakuu! Nimejaribu kusikiliza wimbo wa Diamond mara kadhaa has a baada ya kusikia sakata lake na Gwajima. Kuna vitu kadhaa nimejifunza. 1. Wa Tanzania tulio Wengi tunapenda mipasho. Tunapenda kusikiliza stories ambazo hatuhangaika kutafuta ukweli wake. Tunaamini kwasababu fulani...
  2. Mwalimu Mkuu

    Kwa nini lowassa amepokelewa siku aliyokufa chacha wangwe?

    Kuna vyama vyenye asili ya umafia ambavyo kwa kweli matukio na tarehe huwa ni kitu cha muhimu sana kama unajaribu kuunganisha. Chancha Wangwe alifariki tarehe 28/07/2008 katika kifo chenye utata hasa baada ya kuwa ameonesha nia ya kugombea nafasi ya juu ya uongozi katika chadema. tarehe kama...
  3. Mwalimu Mkuu

    Kwa nini zitto na wanachama wake act hakubaliki kujiunga ukawa ila lowasa anakubalika?

    Wazungu wana msemo mfupi sana lakini unabeba dhana kubwa It's a matter of time! yaani muda pekee ndio unaweza kutoa majibu kwa maswali magumu yanayotatiza kwa nyakati fulani... pamekuwepo na maelezo na tuhuma nyingi kuwa chadema ni chama chenye agenda ya siri inayofahamika na waasisi wake. kwa...
  4. Mwalimu Mkuu

    Mhadhiri Kibarua chaota Nyasi kwa kuhusishwa na siasa!

    aliyekuwa mhadhiri katika chuo kikuu cha Arusha mpiganaji Dadi Igogo amefukuzwa kazi katika chuo kikuu cha arusha kwa kuhusishwa na siasa chuoni hapo. 
  5. Mwalimu Mkuu

    Mhadhiri Kibarua chaoto Nyasi kwa kuhusishwa na siasa!

    aliyekuwa mhadhiri katika chuo kikuu cha Arusha mpiganaji Dadi Igogo amefukuzwa kazi katika chuo kikuu cha arusha kwa kuhusishwa na siasa chuoni hapo.
  6. Mwalimu Mkuu

    Elimu inakuwa au tunaiua?

    ni mara nyingi nimekuwa nikijiuliza juu ya kiwango cha elimu kinachotolewa hasa katika taasisi zetu za elimu ya juu kama vyuo vikuu. kumekuwepo na idadi kubwa ya uandikishaji (addmission) jambo ambalo ukiliangalia kwa haraka unaweza kuona ni jema, kwani hata watoto wa maskini wanaweza kupata...
Back
Top Bottom