Search results

  1. Siyane

    Ajira kwa zaidi ya wahitimu 5,000 kuanzia kesho

    Kuna mawili. Moja katolewa (lina asilimia -10). Pili kakosea ama kasau kuweka kwenye mabano kama ivi; Makamu Mkuu wa Chuo (Taaluma) au Makamu Mkuu wa Chuo (Utawala).
  2. Siyane

    Hotuba ya Ahmednajad UN jana hapa.

    Muiran anaongea kwa niaba ya Africa, ni mamilioni ya Waafrika walifariki na kuteseka katika biahsara ya utumwa. hii ni changamoto kwa nchi za Kiafrika!
  3. Siyane

    Bob Marley aliamini Mungu kweli?

    Maisha ya Bob Marley ndiyo yaliyozaa mashairi yake. Akiwa upande wa mtu mweusi daima aliumizwa na namna maisha ya mtu mweusi yalivyokuwa mabaya kutokana na mfumo gandamizi uliojengwa kwa miongo na miongo. Katika wimbo huu ana wa hamasisha Watu weusi kupigania haki zao pasipo kujali ni ghiriba...
  4. Siyane

    Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

    Harufu ya kura inapotawala Hata malkia wa pono hukataa kulala Hofu ni kukoswa kura na kufilisika kula Kama sivyo na iwe hivyo siku zote!
  5. Siyane

    ajira ya foreigners nchini

    Rangi kiingilio Cha mazuri majilio Ila si upande wa kilio
  6. Siyane

    Magufuli augua ghafla, alazwa

    Apone haraka Ili aendelee kuziba viraka Na kuwajambisha vibaraka
  7. Siyane

    UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

    Utetezi wa kubakwa utafunika suala la mahusiano yao? hasa ile simu ya mwanaume mwingine kupigwa na Lulu kutoka kwenda kuipokea nje? Vipi hapo? Mdogo wake Kanu aliyekuwepo katika eneo la tukio ana ushadidi huu. Je unafutika kwa utetezi wa ubakaji?
  8. Siyane

    Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

    Imepitwa na wakati iwapo nchi tayari imekwisha kustaarabika kwa maana ya kila raia kufuata sheria na taratibu kama impasavyo. Kwa nchi zenye matatizo mengi na makubwa kiuwajibikaji haistahili kuondolewa. Lakini hofu kubwa pia ni namna ya matumizi yake kwa sababu kama itakuwa imejikita katika...
  9. Siyane

    Should abortion be legal or illegal in Tanzania?

    Mzuvendi Bado si vibaya kutumia Kiswahili kama una mashaka na lugha ya Kiingereza. Binafsi nadhani kuna sababu mahsusi ambazo zinaweza kutumika kuruhusu mwanamke kutoa mimba. Sababu hizo ni kama vile za kiafya na uhatarishaji wa afya ya mama kwa ujumla. Tofauti na hapo sidhani kama ni vyema...
  10. Siyane

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Ikiwa umekamatwa katika misingi ya kuzingatia sheria na taratibu zote kama ulivyozibainisha na kupelekwa kituo cha polisi na kisha mahakamani ndani ya masaa 24 na mahakama kuonelea kuwa huna hatia, Je, ni hatua gani (za kisheria kama zipo)unaweza kuchukua ili kufidia hasara kubwa uliyoipata...
  11. Siyane

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Matukio ya papo kwa hapo yamebeba dhana tofauti ya utuhumiwa na yale matukio yaliyotokea kitambo. Utuhumiwa wa matukio ya papo kwa hapo yana sheria zake madhubuti ya namna ya kukabiliana nayo.
  12. Siyane

    Jamani " lizzy" utaniua kwa barua yako tamu

    Haya maneno yamekaa kidumedume, Lizzy wa wapi huyo?
  13. Siyane

    Best paying company in tanzania

    Bado inaniwia ngumu kuamini chakula first class ni western.
  14. Siyane

    Kwa Jina la CCM: Mbunge wa Mtera Lusinde aporomosha matusi Arumeru kumwombea kura Siyoi

    Binafsi sijapendezwa na mwenendo mzima wa siasa za Tanzania. Wakati nikimsikiliza mbunge huyu ambaye sithubutu tena kumwita mheshimiwa , wazo lililoniijia ni kuwa ametumia aina ya kilevi kama bangi kabla ya hotuba yake. Katika hali ya kawaida, maneno kama haya yamezoeleka kwa watu waliokata...
  15. Siyane

    China support the modernization of Tazara(a great shame)

    Wakati wakiendelea kutengeneza, Nasi tutaendelea kuichongea jeneza, Ili tuiue na kuizika kabisa wakishaimaliza, Ndiyo zetu, haina kushangaa ni full umangimeza.
  16. Siyane

    Prof. Mukandala afanya kufuru UDSM

    Natamani kuandika hoja za ufafanuzi, lakini nimejawa kigugumizi, kuhusu ukweli wa habari hizi, Kama ni kweli na sio simulizi, Basi kavaa ile ile (kwa kihaya "zesemu") hirizi, Ya swahiba wake yule wetu mchizi.
  17. Siyane

    Maandamano kupinga kuwepo kwa BAR mitaani eneo lote la Kiembe Samaki, Zanzibar

    King'amuzi linalonga katika sahihi yake...usipoteze muda kuwasha moto juu ya maji.
  18. Siyane

    Wazungu kuifanya libya switzerland of africa

    Kwa muktadha wa mada, nadhani ndivyo itakavyokuwa.Wazungu wataleta kila kilicho Swiss ndani ya Libya.
  19. Siyane

    Wazungu kuifanya libya switzerland of africa

    Ndiyo hapo sasa. Yetu macho. Lakini sio mbaya ukijaribu kuingia ndani ya mada. Aksante
  20. Siyane

    Wazungu kuifanya libya switzerland of africa

    We ni "great thinker" . Una uwezo wa kupiga mbizi sawia katika bahari ya ufahamu. Aksante
Back
Top Bottom