Search results

  1. K

    ndoto za mashiringi zinanitesa

    hakuna haja ya kuogopa wewe omba Mungu akusaidie pia jitahidi kusoma neno la Mungu itakusaidia ikiwa siyo ya heri yataita lakini ikiwa ni kheri ni kumuomba Mungu itimie!
  2. K

    mishahara mipya ualimu

    nimekosea nilimanisha mwaka 2013
  3. K

    Wizi mwingine wa vodacom huu hapa

    Ndugu wana jf, Mimi ni mteja & nbsp; wa siku nyingi & nbsp;wa vodacom, ila kitu ambacho nimeona wamekuwa wakitangaza vingine na kutekeleza kitu kingine mala nyingi ambacho hunisababishia hasara mala nyingi nisizotarajia. mfano mala nyingine wanakuambia lipia shilingi kazaa utumie internet...
  4. K

    mishahara mipya ualimu

    Wekeni walaka mpya wa mwaka 3013 siyo huo ambao wanaotujali walishatuwekea mwaka jana!
  5. K

    naomba msaada wana jf najisikia shavu la kushoto mishipa kukosa nguvu hata wakati wa kuongea ni tabu

    Ndugu wana jf mie ninasumbuliwa na tatizo la kujisikia shavu la upande wa kushoto kukosa nguvu au kulegealegea hivi, kuna kipindi ilitokea mishipa ilikuwa inauma nilikaa baada ya muda hali ikatoweka na badae ikajitokeza tena maumivi ya mishipa kwenye mdomo kuuma pia ikapungua na sasa najisikia...
  6. K

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    ukiwa na ya mwilini ni tabu sana! ukiongozwa na mwili utapata shida sana! Je unajuwa Waasisi wa ukristo na wa Uislamu. hawa ni wawili tofauti na wanatofautiana kwa vitu vingi na nikiona pale ninapo abudu wamekubali tumfuate muasisi wa dini nyingine dini hiyo nahama! uislam ni Muhammad Ukristo...
  7. K

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    ndugu zangu katika jf nimedokezwa sasa hivi kuwa kanisa TAG Mbagala kwa makamu askofu mhiche Waislam wamevamia kanisa kuvunja madhabahu na kuchoma moto magari na askari nimeambiwa wapo eneo hilo. inasemekana sababu ni mtoto mmoja wa muumini alikojolea msahafu. wale wanaoishi maeneo jirani naomba...
  8. K

    Naomba kuuliza ngozi inayofunika jicho ya juu inapochezacheza kama kutetema husababishwa na nini

    Ndugu zangu wiki mbili zilizopita nilikuwa na sumbuliwa na kuchezacheza kwa ngozi ya juu inayofunika jich lakini kuanzia juzi imeacha, lakini tena kuna mtu ambae anaishi jirani kaniambia ana zaidi ya wiki mbili jicho la kushoto linadalili hizo je hii husababishwa na nini? chonde msaada jamani!
  9. K

    Mkullo watuambiani: Kulipa pango kwa dola za marekani??

    wanafanya hivyo kwasababu shilingi yetu haijatulia inashuka utafikili inatafuta kuwa mshindi wa kupolomoka thamani! hata wafanyakazi wanatamani mishahara walipwe kwa dola kwakuwa hizi pesa zetu hizi leo utaambiwa mshahara laki tatu ikiwa inaweza kununua gunia tatu za mpunga baada ya miezi...
  10. K

    Nimechoka kunyongwa usiku wa manane, tafadhali msaada wa haraka

    Umesha fanya biblia ni hirizi. pole sana ila nakushauri kusoma neno liwe ndani yako na uijue haki yako ya kupata usingizi mzuri na ulale kwa usalama. dawa ni kumkabidhi Yesu maisha yako hapo utakuwa umemaliza kila kitu.
  11. K

    Ukikutana uso kwa uso na Kikwete mtaani utafanya nini?

    yanayo nipasa kumfanyia kiongozi nitamfanyia! heshima nitampa kwakuwa mie wajibu wangu ni kumpa heshima! nakumwambia matatizo yetu katika maeneo ninayoishi kama ni Mbuguni, Kijenge, Usariva au ungalimited ndicho nitakachomwambia lakini siyo kumlaumu kama vile yeye ndiye aliyesababisha hata kama...
  12. K

    Uhakiki wa Wafanyakazi umeanza Kigoma

    hii inchi ni shamba la bibi kila mtu anawahi chake!
  13. K

    Regia ametuunganisha - Makinda

    Nakuunga mkono hapo hakuna jipya!
  14. K

    naomba kuuliza ili mtu apate lessen ya udereva wa gari anatakiwa awe na sifa zipi

    Ndugu katika jf. naombeni kuelimishwa. ili mtu aweze kupewa lessen ya kuendesha gari TZ anatakiwa awe na sifa zipi. tafadhali naomba kujulishwa!
  15. K

    Let us pray!!!!!

    LEAVE WHAT YOU ARE DOING AND LET US PRAY !!! GIVE THANKS : Almighty Father creator of Heaven and earth and everything in between,We humbly come before you with thanks giving in our hearts, asking for your never ending mercy We lift your name on high, above any name that has ever existed, our...
  16. K

    Nondo Mbeya

    tumuombe Mungu ili atuondolee hili balaa nchini kwetu.
  17. K

    Mila zetu zimepotezwa na wazungu jamani!

    mila zilijaa mambo mengi ya aibu. unapopunguza mambo fulani unapunguza uzito wa mila hizo na badae kutoweka. mfano kuna baadhi ya mila mwanaume akitaka kuoa ilikuwa ni lazima awakodi jamaa zake halafu wanamvizia msichana anapokuwa ametumwa kama vile kuchota maji ndipo wanapomkamata na...
  18. K

    Kila kitu kwa jina la Nyerere ni sawa?

    kupakana mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa huko!, wanataka waonekane wanamuenzi mzee wa watu wakati wizi mtupu! sifa hizo anazipenda mtu mmoja hivi anatamani hata nchi iitwe jina lake ili ionekane aliwahi kuwa kiongozi wa ngazi fulani!
Back
Top Bottom