Search results

  1. dosama

    Lema: Vijana wa CHEDEMA wanyimwa dhamana Singida kisa kuimba nyimbo ya Taifa na bendera ya chama

    Nilikwenda Singida kuwasalimu KM BAVICHA Nusrat/ Mwenezi Twaha Mwaipaya, sikuweza kuwaona wanashitakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa huku wakiwa wameshika bendera ya Chama. Wote wamenyimwa dhamana, kwani hati ya kiapo cha DPP inasema wao kukaa kwao nje ni hatari kwa usalama. Mahakama...
  2. dosama

    Askofu Bagonza: Utitiri wa watia nia na wenye kamba miguuni

    Tumemaliza hatua ya kutia nia. Sasa ni kuchukua fomu. Utafuata uteuzi. Mawili yamejitokeza katika utiaji nia na uchukuaji fomu. Kwanza kuna utitiri wa watia nia katika chama tawala na ukame wa watia nia katika vyama vingine. Kwa nini? Nitaeleza hivi punde. Pili, kuna sura mpya zisizotegemewa...
  3. dosama

    Shilingi ya Tanzania yazidi kuporomoka dhidi ya US Dollar, Euro na Paundi

    Kwa rate ya leo ya kuuza na kununua fedha hizo za kigeni ni kama ifuatavyo 1. USD inauzwa kwa shilingi 2317 na kununuliwa kwa shilingi 2354 2. Euro inauzwa kwa shilingi 2580 na kununuliwa kwa shilingi 2700 3. Paundi unauzwa kwa shilingi 2854 na kununuliwa kwa shilingi 2974
  4. dosama

    CCM asili kwafuka Moshi, mwenye pesa ndio mshindi. Polepole ahusishwa na Rushwa

    MWAMBIE POLEPOLE KAMATI KUU CCM IMECHEMKA NA IMEKOSA MENO Na Thadei Ole Mushi Jana nilisema mwenye fedha ana asilimia 90 za kushinda uchaguzi huu wa kura maoni ndani ya CCM kutokana na mfumo ulivyo ndani ya chama. Niliwaambia Jana hakuna mahali ambapo Mjumbe wa kwenye Shina anaweza kukataa...
  5. dosama

    Askofu Bagonza: Uhalali na uongozi haviachani. Ukiona matumizi ya mabavu na maguvu vinaongezeka, ujue uhalali wa uongozi umetoweka

    "Uhalali na uongozi haviachani. Ukiona matumizi ya mabavu na maguvu vinaongezeka, ujue uhalali wa uongozi umetoweka. Ili kutumia mabavu ni sharti utu uwekwe pembeni na unyama uvaliwe"-Askofu Bagonza #ChangeTanzania
  6. dosama

    Askofu Mndolwa: Wanasiasa msichanganye Dini na Siasa. Mkifika nyumba za ibada mvue makoti yenu muwe waumini wa kawaida

    HABARI Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglicana TZ, Maimbo Mndolwa, amewataka wanasiasa kuacha tabia ya kuingiza siasa kwenye nyumba za ibada, badala yake wayavue makoti yao ya siasa pindi wanapoingia kwenye nyumba hizo ili kuendelea kuidumisha amani iliyoachwa na waasisi wa nchi...
  7. dosama

    Uchumi wa Kati: Wakulima wa korosho walia kukosa pembejeo, wasema umaskini unaongezeka

    Wakulima wa korosho kutoka vijiji vya Wilaya za Newala na Masai mkoani Mtwara wamesema kuchelewa kwa pembejeo za kilimo pamoja na watalaam kutochukua hatua mapema wanapotoa taarifa za magonjwa ya mimea kunachangia kudumaza juhudi zao za kuondokana na umasikini unaowakabili.
  8. dosama

    Malawi hawakuipata tume huru kwa maridhiano. Kuna waliokufa, waliokuwa vilema na wameidai kwa maandamano zaidi ya miezi 10. Hii ndio Afrika

    So how did Malawians fight for electoral reforms They organized and protested. They were shot at by the police, so they organized some more & protested in bigger numbers. When the president refused to listen to their dem ands, they marched on State House. It took 10 months...
  9. dosama

    Mzee Mwinyi: Rais Magufuli aongezewe muda wa miaka 5 zaidi kama shukrani

    "Mimi ni mzee sasa na maneno yangu pengine hudhaniwa ndoto za uzee. Ningetamani mambo mawili, moja la hakika lingine la kufikiriwa. La hakika tuwashawishi watanzania Rais wetu asipate kura ya kumkataa, mwenye kumkataa atupe sababu. La kufikirika ni kwamba nchi yetu inaendeshwa kwa Katiba na...
  10. dosama

    Polisi wavamia mkutano wa ACT Kigoma na kuvuruga mkutano wa ndani

    ALERT: Polisi @tanpol wamevamia Mkutano wa ndani wa @ACTwazalendo wa Viongozi wa Kata za Jimbo la Kigoma Kusini ulioongozwa na Kiongozi wa Chama, @zittokabwe katika eneo Nguruka jioni Hii ni kufanya vurugu ili kuvunja mkutano huo.
  11. dosama

    Uchaguzi 2020 Msafara wa Catherine Ruge wapigwa mabomu na Polisi akirejesha fomu ya kugombea Ubunge

    Msafara wa aliyekuwa Mbunge wa Viti maalum Catherine Ruge wa CHADEMA Mkoani Mara umezuiliwa kwa kupigwa Mabomu na Jeshi la Polisi Wilayani Serengeti kipindi akirejesha fomu ya Kuwania Ubunge Jimbo la Serengeti.
  12. dosama

    Mtanzania Pendo Masonga, awa ombaomba Kenya ili apate matibabu ya uvimbe kwenye paji la uso. Kumeonekana kuwa kuna omba omba wengi toka Tanzania

    Today, while moving through Nairobi, I met Ms. Pendo Masonga, a 20 year old Tanzanian National who has what appears to be a malignant a growth on her mouth On interacting with her further I learnt that she has been living with this condition for a long time and had came to Kenya with the hope...
  13. dosama

    Wakati CCM kushirikiana na magereza na polisi kupandisha bendera Dodoma, jeshi la polisi Same washusha bendera za CHADEMA

    Hapa makada watiifu wa CCM Same wakishusha bendela za CHADEMA ambao wana kikao cha ndani kuelekea uchaguzi mkuu 2020
  14. dosama

    Naona kuna shida ya ajira au kupata fedha. Jimbo moja watia nia zaidi ya 500. Au siasa imekuwa ya yeyote anayeweza?

    1. Magufuli alisema kazi ya urais ni kazi ngumu sana anatamani aondoke hata leo, lakini bado kachukua fomu ya kuomba kuongoza dola (sio fomu ya kuomba nafasi ya chama kuwa mgombea). Na tena fomu ilikuwa moja tu. 2. Naona wakuu wa mikoa, wilaya, DED na wateule karibia wote wanataka kuwa wabunge...
  15. dosama

    Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

    Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
  16. dosama

    Tunaonekana washamba na vigezo tumeweka wenyewe, plani yetu ni 2025 tuwe na pato la dola 3,000 nashangaa tunashangilia kwa pato la dola 1080

    Preparation of the Tanzania Development Vision (TDV) 2025 started in 1994 and the Government finally launched the Vision in 1999. The gist of Vision 2025 is that, by 2025, Tanzania should have gone through an unprecedented economic transformation and development to achieve middle-income status...
  17. dosama

    Naiona hatari huko mbele uteuzi wa wanajeshi walio kazini kushika nyadhifa za kisiasa

    Japo sina muda wa kutoa orodha ya teuzi kama hizi na athari zake kwa historia ya dunia. 1. Katiba inakataza majeshi yetu kujihusisha na siasa kwa maana nyingine majeshi wao huwa pale kulinda katiba na sheria hawatakiwi kuwa na chama, na kwa ufupi wanatakiwa kutii kwanza katiba then wanakuja...
  18. dosama

    Mradi wa Stieglers: Mwarabu anaharibu mradi hana utaalam wala ujuzi wa kujenga bwawa, italeta hasara kubwa kwa taifa na ubora hafifu

    Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo. 1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa...
Back
Top Bottom