Nilikwenda Singida kuwasalimu KM BAVICHA Nusrat/ Mwenezi Twaha Mwaipaya, sikuweza kuwaona wanashitakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa huku wakiwa wameshika bendera ya Chama.
Wote wamenyimwa dhamana, kwani hati ya kiapo cha DPP inasema wao kukaa kwao nje ni hatari kwa usalama. Mahakama...
Kesho tarehe 16 Julai 2020, aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje kwenye serikali ya awamu ya 4, Mwanasiasa na Mwanadiplomasia Na kachero mbobezi @BenMembe atazungumza na Wanachama wa @ACTwazalendo
Ukumbi: Mlimani City
Muda: Saa 4.00 Asubuhi.
Waandishi wote mnakaribishwa https://t.co/toK4YCjEfj
Tumemaliza hatua ya kutia nia. Sasa ni kuchukua fomu. Utafuata uteuzi. Mawili yamejitokeza katika utiaji nia na uchukuaji fomu.
Kwanza kuna utitiri wa watia nia katika chama tawala na ukame wa watia nia katika vyama vingine. Kwa nini? Nitaeleza hivi punde.
Pili, kuna sura mpya zisizotegemewa...
Kwa rate ya leo ya kuuza na kununua fedha hizo za kigeni ni kama ifuatavyo
1. USD inauzwa kwa shilingi 2317 na kununuliwa kwa shilingi 2354
2. Euro inauzwa kwa shilingi 2580 na kununuliwa kwa shilingi 2700
3. Paundi unauzwa kwa shilingi 2854 na kununuliwa kwa shilingi 2974
MWAMBIE POLEPOLE KAMATI KUU CCM IMECHEMKA NA IMEKOSA MENO
Na Thadei Ole Mushi
Jana nilisema mwenye fedha ana asilimia 90 za kushinda uchaguzi huu wa kura maoni ndani ya CCM kutokana na mfumo ulivyo ndani ya chama. Niliwaambia Jana hakuna mahali ambapo Mjumbe wa kwenye Shina anaweza kukataa...
"Uhalali na uongozi haviachani. Ukiona matumizi ya mabavu na maguvu vinaongezeka, ujue uhalali wa uongozi umetoweka.
Ili kutumia mabavu ni sharti utu uwekwe pembeni na unyama uvaliwe"-Askofu Bagonza #ChangeTanzania
Kimsingi nafurahi kuona wanawake wakipambana katika michakato ya KIDEMOKRASIA na kushinda ndani ya chama. Hii ni hatua kubwa. Inadhihirisha hakuna ukiritimba wa mifumo dume. Wanawake wengi hadi sasa wameshinda kura za maoni. Ni taswira nzuri kwa taasisi imara ya kisiasa. https://t.co/Tdx4hA9aLn...
In addition the @WorldBank report finds alarming poverty vulnerability level in Tz. For every FOUR people who move out of poverty in 2018 THREE returned to poverty in 2019.
In Tanzania, between 2012 and 2018 (latest data available) 2 million more people were living in poverty per World Bank...
HABARI Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglicana TZ, Maimbo Mndolwa, amewataka wanasiasa kuacha tabia ya kuingiza siasa kwenye nyumba za ibada, badala yake wayavue makoti yao ya siasa pindi wanapoingia kwenye nyumba hizo ili kuendelea kuidumisha amani iliyoachwa na waasisi wa nchi...
So it's not the voters who decide who to be leaders but rather the ruling party @ccm_tanzania does so! And y'all out there expecting #FreeAndFairElections?
Let's come together to fight for #TumeHuruYaUchaguzi if we really want our votes to be meaningful.
#ChangeTanzania https:
Wakulima wa korosho kutoka vijiji vya Wilaya za Newala na Masai mkoani Mtwara wamesema kuchelewa kwa pembejeo za kilimo pamoja na watalaam kutochukua hatua mapema wanapotoa taarifa za magonjwa ya mimea kunachangia kudumaza juhudi zao za kuondokana na umasikini unaowakabili.
So how did Malawians fight for electoral reforms
They organized and protested. They were shot at by the police, so they organized some more & protested in bigger numbers.
When the president refused to listen to their dem
ands, they marched on State House.
It took 10 months...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.