Search results

  1. Independent Prosecutor

    Maoni yangu binafsi kuhusu dini

    Ni kwakua tu hatujaamua kufungua hili suala.
  2. Independent Prosecutor

    Maoni yangu binafsi kuhusu dini

    Nimelelewa nikiaminishwa kwamba mimi ni bora kuliko kundi lingine la kidini (Nikiwa Mkirsto) nikaaminishwa kuwa jamii yetu ni jamii bora na nikaaminishwa kuwa hakuna la muhimu kwa wengine ila kwetu tu. Lakini nikawa ninajiuliza ni vipi Dini inafundisha utengano mkubwa kiasi hiki. Niliishi na...
  3. Independent Prosecutor

    Ukweli usemwe: Wanawake wameiharibu Dunia imekuwa kama shimo la choo

    Mimi ni mpingaji mkubwa wa misemo kama hii, nakataa kuwa mwanamke hana any positive contribution kwa mwanaume bali kumshusha na kuuwa ndoto za mwanaume, hili nimelipitia Hapa nilipo na mwisho wake nilimuomba tuachane ili maisha yangu yawe sawa aligoma hakutaka kuondoka ila nilimkataa Kabisa na...
  4. Independent Prosecutor

    Mtazamo juu ya vijana wa sasa

    Matatizo ya afya ya akili yanachukuliwa kama suala la kawaida ila ni janga kubwa na haribifu siku za usoni, tuna kila sababu ya kusimama kupunguza hili katika jamii zetu.. mauaji yataongezeka kutokana na hili, watu kujidhuru wenyewe,watu kuishi maisha mabaya zaidi kwa sababu ya kukata tamaa...
  5. Independent Prosecutor

    Mtazamo juu ya vijana wa sasa

    Mengi ya kusikitisha na kuangamiza jamii zetu
  6. Independent Prosecutor

    Mtazamo juu ya vijana wa sasa

    Sikubaliani na hilo, nimeona ni mfumo wa maisha ndio umeleta haya, kumekuwa na mabadiliko makubwa sana kwenye mfumo wa maisha ya sasa, kuanzia malezi ya nyumbani, elimu, gharama za maisha, utamaduni mpya, na zaidi Umaskini.
  7. Independent Prosecutor

    Mtazamo juu ya vijana wa sasa

    Issue ninayo ona inafaa hapa kwa yale niliyoyaona basi vijana wanatakiwa wapewe kipaimbele sana katika jamii zao, wasikilizwe, kwenye kuwasikiliza utapata cha kuwashauri, ninalosema nimeliona mataifa 18 ya ulaya ikiwemo Uingereza, nimekuja Tanzania nimeliona kwa ukubwa, hapa Marekani ndio habari...
  8. Independent Prosecutor

    Mtazamo juu ya vijana wa sasa

    Ndio, tatizo la afya ya akili linazidi kukuwa kwa kasi sana.
  9. Independent Prosecutor

    Mtazamo juu ya vijana wa sasa

    Ninawaza ni jinsi gani maisha yamebadilika na kwa jinsi ninavyokaa na vijana kuwasikiliza mawazo yao, ninapata majibu kuwa miaka 10 ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watoto wa mitaani na vifo kutokana na changamoto ya Afya ya akili vitaongezeka sana.
Back
Top Bottom