Search results

  1. J

    Amuua mwenzake kwa kipigo baada ya kumkuta akimtongoza dada yake

    Huyo ameenda.ni mali ya serikali kwanzia hapo .dreams ndo zimepotea hivo !!!!!kila mtu anamaliza Olympic ya maisha kwa style yake.huyo the rest of his life anaenda kuispend huko.
  2. J

    Rais Kikwete, i swear hakunaga!

    Kuna msemo wajanja husema,kusoma,hujui,sio makosa yako,Wenda swala ni ada,hata na picha pia udhindwe kuelewa kuwa zinamaanisha nn!!kulingana ni hii ilivyopendelewa na Mungu!!kila kitu tunacho,.Lakin sasa angalia uchumi wetu!!angalia gape lililopo kati ya wenye nacho na wasio nacho!!in...
  3. J

    Wabunge wataka Milioni 130 badala ya 90 kama mkopo wa gari

    Si watumie hata RAV4!!!how special are they kwamba lazima watumie haina hiyo tu ya magari?watarudi tu 2020,kama nyamagana,hakuna kurudi kama ndo maswala yanayowapeleka
  4. J

    Jumamosi irejeshwe kuwa siku ya kazi ofisi za umma

    Unadini kweli wewe!!!!
  5. J

    HESLB yatoa Awamu ya Nne na ya mwisho wanafunzi waliopangiwa mikopo

    Hii did not secure,naogopa hata kuchungulia,make naona wa miaka ya 2012 kurudi nyuma ni shida tu!
  6. J

    HESLB yasisitiza watu wote watapata mikopo, Lot ya nne inakuja

    Na wale tuliomaliza 2012,hakuna msaada wowote
  7. J

    Bodi ya mkopo vipi kuhusu continuing taharifa zao mbona kimya hadi sasa

    Jaman,na wale tuliomaliza 2012,kuna njia yoyote twaweza tumia angalau hata kupa boom tu jaman!!mbona kuna ubaguzi hadi kwenye sector ya elimu jaman,wengine kwa walio kuwa na matatizo ya kuugua,jamaa hata kusikia claims kama hizo hawaitaji!!tufanye nn jaman!tumekwama.msaada wa mawazo ndugu zangu.
  8. J

    Naomba kujuzwa kuhusu hili la heslb

    Jaman nasi tusaidieni mawazo tuliomaliza 2012,ni njia gani twaweza tumia ili tunufaike na mkopo huu wa serikali,make mambo yanatuwia magumu jaman,naomba ushauri ndugu zangu,nifanye nini.
Back
Top Bottom