Search results

  1. man ov action

    Naomba ufafanuzi wa kozi hii ya Bachelor of Arts in Geography and Envt studies UDOM

    haahhahaahahaha tena atatembea kwa miguu kutoka humanity mpaka ng'ong'ona
  2. man ov action

    Bodi ya mikopo (heslb) inanitesa!!!!!!!!!

    nashukuru sana mkuu #eliamyaniko ntajitahd kutumia akili niliyonayo kupigana na hali hi mpaka bum litakapokuja!!
  3. man ov action

    Bodi ya mikopo (heslb) inanitesa!!!!!!!!!

    daah mim sio msumbuf kaka, bt kwasasa kama naitaj tu ushaur wako!!
  4. man ov action

    Bodi ya mikopo (heslb) inanitesa!!!!!!!!!

    ukwel nmevumilia sana mkuu, wengne wanakaribia kudai bum la pili mimi hata jina lang halibandikwi, inaniuma sana hal yang n mbaya sana yan!!
  5. man ov action

    Bodi ya mikopo (heslb) inanitesa!!!!!!!!!

    Habari ndugu zangu wana JF! Naitwa paul nipo udom 1st yr, hakika maisha yangu ya hapa chuon yamekuwa magum na hvyo kpelekea kkata tamaa ya kuendelea kusoma, ukwel bodi yetu ya mikopo imekuwa chanzo cha matatizo haya yote,!! ni miongon mwa wanafunzi walioomba mkopo lakini kwa bahati mbaya...
  6. man ov action

    Msaada: Tatizo la ku-appeal mkopo heslb.

    ni pm no ako nkuchek, npo udom nna tatzo the same like urs!
  7. man ov action

    Wanafunzi vyuo vikuu kutumbua jipu bodi ya mikopo

    aah mkuu na mimi npo udom coed first year ni muhanga wa tatizo hili, npo block T ni PM tupeane maujanja ya kupigana na hi hali!
  8. man ov action

    University of Dodoma naomba mpitie hapa

    khaaaa yan inaonexha ni vp we ulivo mngese, kudadek
  9. man ov action

    Hon JPM KARIBU UDOM MAANA HADI SAIV WATU WENGI WA SPECIAL DIPLOMA HAWAJAPATA BOOM LAO

    kama hauna la maana kuchangia n bora uache, na sio kuandika uchafu wako um ndan!! konyo wew
  10. man ov action

    Msaada: Shule nzuri ya sekondari Morogoro, Iringa au Mbeya

    mpeleke st mar's ulete, ipo iringaaa!! ada yake cjajua kwa xx coz inabadilika xana, wakat tunaxoma cc mwaka 2009 ilikuwa laki 9
  11. man ov action

    kwa wasiopata mkopo muwe na subira wakati wahusika wanashughulikia.

    je kwa sisi tuliopewa lot ya sita hatujui majna yetu kama yamefika au laa, na cjui utaratibu ukoje juu ya hili
  12. man ov action

    Wasiopata mikopo tafadhali angalieni akaunti zenu, wameshawaingizia

    ucjal ndugu yangu, mungu mwema atafanya njia pale pasipo na njia, ukwel hata mimi walivotoa lot ya nne wakasema ndo ya mwisho, niliumia sana ndugu yangu, lkn nikajipa moyo ya kuzidi kuomba mungu kika cku na muda wote!! jitahd ufatilie mungu atakunyoshea mkono wake na kufungua baraka, huwez amin...
  13. man ov action

    Loan board vipi tunawasubiri

    khaaa yan awa jamaa atar sana,! wamenfanya niugue vidonda vya tumbo aisee
  14. man ov action

    Hatimaye magufuri amesikia kilio cha wanafunzi juu ya mikopo yao.

    Afadhar nyie ambao tayar mmeshasain, sis tuliopata lot ya sita hatujui kama majina yetu yamefika apa udom coed, kwa anayejua hl jaman tujuzane
  15. man ov action

    Wasiopata mikopo tafadhali angalieni akaunti zenu, wameshawaingizia

    Mimi npo udom first year nmepata mkopo lot ya sita lakini mpaka saizi jina langu cjui litafika lini ili nisain bumu, kwa mwenye uelewa wa hli tufahamishane !!
  16. man ov action

    Wasiopata mikopo tafadhali angalieni akaunti zenu, wameshawaingizia

    jipe moyo ndugu yangu, mungu mwema usichoke kupigania haki yako, hata mimi nimehangaika sana kuhakikisha nafanyiwa allocation, hatimaye nmepewa lot ya sita,! up to now ata cjui kama jina langu lmefka chuon ili nisain! tumwombe mungu my friend mtaoma86
  17. man ov action

    Wasiopata mikopo tafadhali angalieni akaunti zenu, wameshawaingizia

    khaaa, jaman kwa sisi tuliopata mkopo lot ya sita majina yataletwa lin chuon!? kwa mwenye uelewa na hili kwa maana wale waliopata mwanzon mpaka saiz wote wameshasaini wanakaribia kusain bumu la pili , kwa sisi hatujui hatma yetu!!
  18. man ov action

    Bodi ya mikopo kuhusu Continuing Stedents na First year ambao hawakupata mkopo.

    Haaa ko ndo unajifunza kutumia smartphone? maana unachapia kwel
Back
Top Bottom