Search results

  1. M

    Msaada wa kisheria kwa mayatima hawa

    Ndugu wana Sheria, Nimeombwa niwasilishe kwenu ombi la Msaada wa kisheria kwa Mayatima hawa ambao wanataka kupata mwanga wa kisheria kama kuna uwezekano wa kupata urithi wa haki za Merehemu baba yao. Baba yao alifanya ushirika wa kufanya kazi na Mjomba wake kwa kufungua kampuni ya Ujenzi, huyo...
  2. M

    God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

    Kwanza Mimi si katika hiyo imani ya kanisa!. Pia Kuna kitu ambacho hukielewi au hukutumia neema ya akili kutafakari na kufanamu. Tunapo sema Ujumbe wa Mungu umekuja kwa watu wanao ishi katika dunia! Maekezo yoyote yatakayo tumika kuelezea Jambo ni lazima yachukue uoni wa mahali husika!. Nakupa...
  3. M

    God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

    Hilo la Wayahudi ni Maoni yako binafsi , Kwenye Mada Mimi siamini uwepo wa Mungu kwa sababu Wayahudi wamesema Kuna Mungu! Naamini uwepo wa Mungu kwa sababu nimetosheka kwa hoja za kiakili kuwa yupo! Kuhusu kujua Maana ya Hiyari natumia akili binafsi kutambua kuwa hakuna Mtu aliye ishi nje ya...
  4. M

    God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

    Huo ni utumwa wa fikra kufikiria kwamba wayahudi wanaakili kuliko binaadamu wote!. Msamiati wa hiyari haukutungwa nje ya hii dunia na wala nje ya maisha haya tunayo Ishi. Ni kosa kuvusha maana ya hiyari nje maana ya Maisha tunayo Ishi.kwa sababu nje ya Maisha haya hakuna kitu kitu kinaitwa...
  5. M

    God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

    Hii hiyari mnaitafsiri vibaya! Ni Kama upo chuo, unahiyari kusoma au kutosoma! Lakini kitu chenye manufaa kinacho tegemewa kwako ni wewe kupata elimu! Maamuzi yako ya kukataa kusoma na ili hali upo chuo yatakupeleka katika kufeli Jambo ambalo si lengo la chuo!. Kutokana na tabia yako ya uzembe...
  6. M

    God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

    Uthibitisho wa wa uwepo wa kitu hautegemei hisia tano za Mwanaadamu! Bali upo zaidi ya hapo! Mfano: Umeliona dude ambalo hukuwahi kuliona katika Maisha yako. Macho yameliona, Mkono wako umeligusa, Masikio yako yamesikia sauti ambayo haikuwahi kusikia kabla,pua yako imenusa harufu yake ambayo...
  7. M

    God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

    Msamiati wa hiyari umepatikana katika Maisha haya tunayo yaishi. Kwa hiyo maana halisi ya hiyari huwezi kuitoa nje ya Maisha haya!. Hicho unacho kiita hiyari kwa tafsiri yako ni dhana ya kufikirika isiyo weza kutekelezeka katika mfumo huu wa Maisha tunao uishi. Nyumba yoyote utakayo ingia...
  8. M

    God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

    Maisha yote yana lengo moja!. Hiyari ipo katika yale Maisha uliyo pangiwa! Siyo Maisha uliyo chagua! Hukupewa hiyari ya kujichagulia Mahali,lugha ,wazazi au wakati! Maisha yako yanaanzia pale mahali ulipo zaliwa ,wazazi walio kuzaa lugha uliyo ikuta na wakati ulio ukuta! Kwa kuwa Maisha yako...
  9. M

    God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

    Nini maana ya Mungu kujua kila kitu kabla Mtu hajafanya?. Jibu; Kwa sababu Mungu kamuumba Mtu Kisha akampa sifa ya kubaini Kisha akambainishia Njia mbili njia ya sawa na njia ambayo si sawa! Kisha akamfundisha kwamba ili afikie lengo la kuwa mtu mwenye sifa ya ukamilifu ni lazima afuate njia...
  10. M

    God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

    Sijajua hiyo hiyari unataka kuiweka kwenye Mrengo gani.! Hiari ipo kwenye maamuzi sio fikra!. Siwezi kutoka katika wazo kwa kuulizwa swali tu! naweza kutoka pia kwa kutazama kitu kikanitoa katika wazo nililo nalo Hiyari si sifa ya kujua nini kitatokea mbele! Hiyari ipo katika kuchagua .
  11. M

    God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

    Swali la Msingi katika mada hii ni Uhalisia wa uwepo wa Hiyari(free will) kwa Mtu. Maswali yako yanaihoji zaidi imani yako Juu ya Mwenyezi Mungu Kama ipo sahihi au la!. Ikiwa hupati Majibu katika Imani yako basi ujue tatizo lipo kwenye Imani yako na si Uhalisia wa Jambo ambalo unaliuliza...
  12. M

    Naomba njia za kuwaridhisha hawa watu

    Bado nini hapo?
  13. M

    Haya ni madini gani?

    Habari zenu waungwana! Ninalo jiwe ambalo sijui ni madini gani. Naomba wataalam wa Mambo ya mawe wanisaidie kujua Aina hii ya jiwe! Natanguliza shukrani.
  14. M

    Ulinzi wa raia upo katika mtazamo na si katika kumiliki silaha

    Kumekuwa na matukio mengi ya kihalifu ambayo yanaongezeka kwa kasi hapa nchini. Ubaya wa mtu na uzuri wa mtu upo ndani ya mtazamo wake, fikra zake. Matokeo yote tunayo yaona katika nyanja mbali mbali ni zao la fikra. Fikra zinaumba!, Binaadamu alikuwepo kabla ya uwepo wa nyumba, magari n.k...
  15. M

    Sifa za kujiunga Jeshi la Polisi zizingatie maadili

    ----------------------------------- Jeshi la Polisi lipo kwa ajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao. Usalama wa raia ni kwa maana ya kusimamia haki za raia,kwa maana kila raia anayo haki ya kuishi kwa amani na Usalama. Kila raia anayo haki na mipaka inayo zunguka haki zake. Jeshi la...
  16. M

    Kauli za "Serikali inakopa mwananchi alipe deni" ni kauli za kichochezi

    Kama taifa tunayo mahitajio mengi!. Kupanga ni kuchagua ! Tamaza usahihi wa uchaguzi wa Mambo muhimu na uyaunge mkono!. Yale ambayo hayana umuhimu wa haraka unayo haki ya kuyakosoa!. Lakini jifunze kupima kila Jambo kwa Uhalisia wake.
  17. M

    Kauli za "Serikali inakopa mwananchi alipe deni" ni kauli za kichochezi

    Unaongozwa na video za wanasiasa unacha kuanglia vinavyoonekana kwa Macho. Madarasa 15,000 na Madawati unayoaona kwa macho. Vifaa vya maabara unaviona kwa macho! Mkataba wa kumalizia ujenzi wa SGR umesainiwa unauona kwa macho. Hizo trilioni za kwenye video hiyo unatakiwa wewe uzitolee maelezo!
  18. M

    Kauli za "Serikali inakopa mwananchi alipe deni" ni kauli za kichochezi

    Hukatazwi kupinga lisilo kuwa sawa!. Jifunze kuwa na mtazamo sahihi kwa kila Jambo! Jiulize mahitajio ya Madarasa kwa sasa! Je! Ni kiasi gani kimetumika kujenga madarasa?. Je! Kiasi hicho cha fedha kilichotumika ! Uko tayari huduma zingine zisimama ili madarasa yajengwe?.
  19. M

    Kauli za "Serikali inakopa mwananchi alipe deni" ni kauli za kichochezi

    Mtazamo wangu haupo juu ya watu watu wanasema nini! Bali upo kwa kile kinachoonekana kwa macho! Naangalia SGR Dar to Moro imekamilika kwa zaidi ya asilimi 90. Moro to Makutupora zaidi ya asilia 77 na kazi inaendelea! Sijaona hao Wana CCM wanavyo faidika Nje wa wajibu wao kisheria!
  20. M

    Kauli za "Serikali inakopa mwananchi alipe deni" ni kauli za kichochezi

    Tozo zitapungua kwa kuwepo na vyanzo vingine vipya vya mapato!. SGR ikikamilika itakuwa ni chanzo kipya cha mapato. Hivyo tegemea tozo kupungua !
Back
Top Bottom