Search results

  1. Mjukuu wa Sechenga

    Ujinga wa Simba

    Maisha yana kwenda kasi sana, Wakati Yanga inafurahia kupata udhamini wa Bilion 12.335 kwa miaka mitatu, Wenzetu Simba wao wanafurahia kufikisha Followers milion 1 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. Mjukuu wa Sechenga

    Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

    Mashabiki wa Simba acheni kufanywa wajinga na Manara, jiulizeni kwanini Morison mechi ya mwisho na JKT hakucheza? Muulizeni kwanini Morison hakusafiri na kikosi kwenda Sudan. Ukweli ni kwamba Morison kasusa na kagoma kufanya mazoezi na poor discipline. Mpo kama mazezeta
  3. Mjukuu wa Sechenga

    Kisa cha MwanaHALISI kufungiwa ni Habari ya "Nani anastahili kuombewa kati ya Lissu au Magufuli"

    Acha movie iendelee Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mjukuu wa Sechenga

    Mahesabu ya kijasusi yanakataa kwa 51% kuwa Serikali inahusika na shambulio la Lissu

    Imekaa vyema inafaa kwa matumizi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mjukuu wa Sechenga

    Kamanda Msangi: Mhalifu akiwa anapewa Dhamana nanyi mmechoka naye mtaani fanyeni utaratibu wenu

    Hiyo hata mimi naiunga mkono100% Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mjukuu wa Sechenga

    Kama course unayosoma haipo kwenye list hii jiandae kisaikolojia

    Hee bila shaka nawe utakuwa mhanga wa ukosefu wa ajira
  7. Mjukuu wa Sechenga

    Pembe ya faru John yapelekwa kwa Waziri mkuu

    Mie bado nawakumbuka wahanga wa tetemeko la ardhi bukoba, nyie endeleeni kujadili faru john
  8. Mjukuu wa Sechenga

    Umejifunza nini kutoka kwenye Uchaguzi wa Marekani?

    CHADEMA na CUF jifunzeni kutoka kwa Hillary Clinton na Democratic party, baada ya matokeo kutangazwa kwa matokeo Hillary akampigia Trump kumpongeza kwa ushindi huo. jifunzeni kukubali matokeo. Kwa jinsi alivyokuwa anaungwa mkono Clinton na leo kapigwa chini ingekuwa nyie mngekuja na matokeo...
  9. Mjukuu wa Sechenga

    Kwaheri Hans, Yanga tuache na vichaa wetu

    Kwaheri Hans hii ndio Tanzania, Kichwa cha mwendawazimu, wamekuletea kocha bila kuvunja mkataba na wewe, ni dharau kubwa, ukienda kwenu ulaya kawaambie kwanini mpira wetu haukui, kocha aliyeaminiwa na taifa kama kocha mkuu leo amekubali kuwa kocha msaidizi wa Yanga, Hans ukienda Ulaya kawaambie...
  10. Mjukuu wa Sechenga

    Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

    Assalaamu 3alaykum warahmatullahi wabarakaatuh BREAKING NEWS Aliyekuwa Mfalme na gwiji wa muziki wa taarabu Afrika mashariki MZEE YUSUF ameamua kuachana na mziki na kumrudia Allah. Mzee Yusuf ametangaza Nia yake hiyo leo ijumaa tarehe 12-08-2016 Muda mfupi baada ya kumaliza kuswali swala ya...
  11. Mjukuu wa Sechenga

    Kafulila: Magufuli anazidi kudidimiza uchumi

    Kafulila kashaanza kuwa kilaza hivi hiyo deni ya kenya kwa hela ya tanzania ni shilingi ngapi! Ye atulietu aendelee na kazi yake ya uvuvi kigoma
  12. Mjukuu wa Sechenga

    Baba anamuandaa mwanae mwenye miaka miwili kuwa Rais 2050

    Huyu dogo anaitwa Yusuph Mohamed Nassor (2), baba yake Mzee Ahmed Nassor (67) amesema wakati ana mwaka mmoja na nusu alisema anataka kuwa Rais hivyo anamuandaa kuja kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2050 kupitia Chama Cha CCM. Yeye na Baba yake wamekuja Dar es Salaam kutoka Singida kwa usafiri wa...
  13. Mjukuu wa Sechenga

    Mtei: Uongozi wa Rais Magufuli ni kama wa Mwl. Nyerere

    Mwasisi wa CHADEMA, Mzee Mtei amemfananisha Rais Magufuli na Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere katika kukabiliana na masuala ambayo ni changamoto na muhimu katika taifa. - ''Rais Magufuli anatoa mwanga unaoonyesha makosa ya nyuma na nina furaha kuona Watanzania wanapewa tena nchi yao na kufufua...
  14. Mjukuu wa Sechenga

    Simba SC Njaa kali, Yanga yafanya kufuru kusajili

    Simba wametenga mil 200 kukamilisha usajili wa msimu mzima. Huku yanga wamemnunua mchezaji mmoja tu Mil 240. Alafu michuano ya ligi kuu itakapo anza bado Mashabiki wa Simba watasema YANGA inabebwa. Sasa kama wewe unasajili wachezaji toka mwadui na Jkt ruvu. Tena wakuokota okota. Utafanya...
  15. Mjukuu wa Sechenga

    Kagera, Mwanza, Geita, Kigoma na Singida zaongoza umasikini wa kipato

    Serikali imesema kuwa Kigoma, Geita, Kagera, Singida na Mwanza ndiyo mikoa mitano maskini zaidi nchini, aidha mikoa ya Dar es salaam, Kilimajaro, Arusha, Pwani na Manyarandiyo mikoa mitano yenye ahueni ya umaskini nchini Waziri wa fedha na mipango Dk Phillip Mpango alisema hayo jana wakati...
  16. Mjukuu wa Sechenga

    Mbowe: Haturudi nyuma

    Huwa nawaza kila wanapotoka katika ukumbi wa bunge, kwa kawaida huwa wanaamka alfajiri wanajiandaa kwa kupiga suti matata, wanabeba mabegi ili kuwawakilisha waliowachagua lakini muda wa uwakilishi ukianza wanatoka nje. Hahaha sasa kuna maana gani ya kujisumbua kuamka na kuulamba na kuamka mapema...
  17. Mjukuu wa Sechenga

    Mambo ya kujaribu jaribu ovyo

    Jamaa kanunua kifaa cha kukamulia ng'ombe maziwa, alipofika kwake akasema ngoja nikijaribu, Akakivaa kwenye UUME Akawasha kikawa kinamtekenya mpaka akamwaga shahawa, Sasa anaangalia pakuzimia hapaoni, akaona namba ya kampuni akapiga cm akawauliza nizime wapi? Wakamjbu ikifika lita tano kitazima...
  18. Mjukuu wa Sechenga

    Taarifa potofu kuhusu wahisani 10 kusitisha misaada yao kwa Tanzania

    Kumekuwapo taarifa potofu kwamba Wahisani karibu 10 wamesitisha misaada yao kwa Serikali ya Tanzania. Taarifa hizi ni za uongo na upotoshwaji na zinalenga kuleta taharuki miongoni mwa jamii ya watanzania. Binafsi kama raia ili kujiridhisha nimewasiliana na Wizara ya Fedha na balozi mbili...
Back
Top Bottom