Search results

  1. J

    Wanafunzi stashahada maalumu kutoka UDOM kufanya mtihani wa form six

    Hapa lazima tupoteane kwa style hii hatutafika jaman maana hiyo necta ya form six cio BRN wizara ilipaswa kufikiria kiundani zaid necta inayofikiriwa ni kuwaondoa tu watu kiulain ili wapate kisingizio , hivi mitihani inayofanyika kwa aemister yenyewe inapima nn kwao? Na kama hauna upimaji kwa nn...
  2. J

    Wanafunzi stashahada maalumu kutoka UDOM kufanya mtihani wa form six

    Jamani hii ni hatar kwanza ni bora wangeliweka mapema ili yatengenezwe mazingira ya kufanya mtihani huo maana kwa sasa mfumo unaotumika kwa semister watachomoka wateule tu maana principal pass mbili kwa alama D. Nishughuli aisee sasa bac kinachofanyika hapa bora rais angesimamia tu msimamo wake...
  3. J

    Msigwa 'awatolea uvivu' mawaziri wa Magufuli!

    Wao wakiambiwa wanasema huo ni uchochezi watakuwa na ujasiri lin? Unapo MPA MTU nafasi ya kutumikia serikali ni acha afanye kwa mujibu wa sheria na cio tena kwa mujibu wako na hii ndiyo iliyopo Tanzania ya leo anayrwateua angejua kuwa kila kitu lzm aseme yeye hao wanakula posho bure bora afanye...
  4. J

    Baraza la wazee CHADEMA watoa angalizo kuhusu kauli za Rais

    Jamani Tanzania hii cjui itafika wapi? Kila mtu na lake
Back
Top Bottom