Search results

  1. Landala

    Bodi ya mikopo imetoa Batch ya pili tayari.

    Wakuu salamu, bodi ya mikopo tayari imetoa majina ya waliopata mkopo awamu ya pili leo ijumaa tarehe 25/10/2019, ili kuona jina lako kama umepata mkopo nenda kwenye akaunti yako uliyoitumia kuombea mkopo utapata majibu kama umepata mkopo awamu ya pili au hujapata.
  2. Landala

    Joining instructions za kidato cha tano 2019 zimetoka

    Wazazi na wanafunzi waliokuwa wanaulizia kuhusu joining instructions za kidato cha tano 2019 zimetoka na zinapatikana kwenye website ya tamisemi.
  3. Landala

    Kwa maoni yangu,profesa Makame Mbarawa ndie waziri bora kwa mwaka 2016.

    Wadau kwa mawaziri wa awamu ya tano mie kwa maoni yangu profesa Makame Mbarawa ndie waziri bora kwa utendaji kwani amefanya kazi kwa weledi mfano kufuatilia kwa kina utendaji wa makandarasi nchini kwenye ujenzi wa bara bara, kusimamia kwa kina ujenzi wa bara bara kwa kiwango cha rami mfano bara...
  4. Landala

    Utabiri: Mkuu wa mkoa wa Tanga Martin Shigela muda si mrefu atatumbuliwa

    Kutokana na matukio ya kukosekana kwa usalama mkoani Tanga kama vile magaidi wa mapango ya Amboni,kuchomwa moto mabweni ya chuo kikuu cha Sebastian Kulola na utekwaji wa magari kwenye Barabara ya Segera Tanga ni baadhi ya matukio ambayo muda si mrefu yatamsababishia Martin Shigela kutumbuliwa na...
  5. Landala

    TP Mazembe na Vita Club zatinga nusu fainali Klabu Bingwa

    timu mbili kutoka DRC Tp Mazembe na Vita club zimefuzu kuingia nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika baada ya timu zote kufikisha point 10,tp mazembe iliichapa al-hilal omdumand ya Sudan 3 - 0 na vita imeichapa zamalek ya Misri 1 - 0. [/COLOR][/FONT][/SIZE] Chanzo: MTNFootball
  6. Landala

    Nini kinaendelea VodaCom M-Pesa?

    wana jf huduma ya vodacom m-pesa huku wilayani Tarime haifanyi kazi toka mida ya mchana hadi muda huu wa usiku,vp maeneo mengine je mmekumbana na hili tatizo.
  7. Landala

    Msaada kuhusu hati ya nyumba

    Habari wana JF, Naomba kusaidiwa endapo ikitokea mtu amepoteza au ameibiwa hati yake ya nyumba au imeungua na moto, je baada ya kutoa taarifa polisi na kupewa loss report je akienda ofisi za ardhi kuna uwezekano wa kupewa hati nyingine tena? Naombeni kusaidiwa hilo.
  8. Landala

    Laptop inauzwa bei sawa na bure

    wana jf nina laptop yangu aina ya Toshiba,RAM 2 GB,hard disc 160 GB ila betri haitunzi moto kwa muda mrefu,bei yake laki mbili na nusu.Kwa anaye hitaji aniPM au nipigie simu no 0764 810815,nipo Dar.
  9. Landala

    Msaada kuhusu ugonjwa wa asma

    Jamani naombeni msaada kuhusu ugonjwa wa athma,chanzo chake ni nini na je mtu akiugua anaweza kupona.
  10. Landala

    Happy new year 2014 jf

    HAPPY NEW YEAR 2004 wana jf wote,mwaka huu uwe wenye baraka na mafanikio kwa wote.Shukrani ziende kwa mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka mpya salama.
  11. Landala

    kuna bonge la foleni Ubungo saa 7 usiku

    wadau nipo mitaa ya Ubungo muda huu wa saa saba usiku lakini maajabu ni kuwa kuna bonge la foleni kuanzia maeneo ya Shekilango hadi Kimara Baruti,foleni inayokuwepo asubuhi,mchana na jioni leo ipo gadi usiku wa manane,tatizo kubwa linalosabisha foleni ni kuwa ubungo mataa hakuna trafiki kwa hiyo...
  12. Landala

    Magazeti ya Mawio na Tanzania daima kuweni makini

    Baada ya serikali leo kuyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania nawashauri wamiliki,wahariri na waandishi wa magazeti ya Tanzania daima na Mawio wawe makini maana nayo unaweza kusikia siku si nyingi yanafungiwa maana yamekuwa yakichapisha habari na makala ambazo serikali hawazipendi kwa kuwa...
  13. Landala

    msaada simu yangu haifungui file

    wajf poleni na majukumu,naomba mnisaidie jamani nina simu yangu ya mchina aina ya Itel internet ipo fresh,file inaweza kudownload ila tatizo ikiisha maliza kudownload file halifunguki inaandika unsupported format,je nifanyeje ndugu zangu ili simu yng iweze kufungua file,naomba msaada wenu hapo.
  14. Landala

    Kozi ambazo ajira zake ni ngumu kupata

    wana jf nimefanya utafiti mdogo kwa wahitimu wa kozi zifuatazo, PSPA, Philosophy, History and archeology, History and Political science, Geography and Environmental, Public relation na sociology. Kozi hizo ajira zake zimekuwa ngumu na wahitimu wake wengi wameamua kuwa walimu na kuamua kusomea...
  15. Landala

    malavidavi hadi kwenye dala dala

    wadau nipo kwny dala dala natoka tandika naelekea kariako 2po kwny foleni ya taa hapa chang'ombe shell lakini huwezi amini kuna jamaa yupo na demu wake cti ya nyuma wanashikana na hatari zaidi kuna muda wamepigana denda kuna abiria 1 kawaambia ukweli kuwa wanavyofanya sio vizuri wamemjibu...
  16. Landala

    Mtoto wa miaka 15 amuua mama yake kwa panga

    mtoto wa miaka 15 Frank Makombe anayesoma kidato cha kwanza huko mkoani Iringa amemuua mama yake kwa panga pale alipoenda kuamulia ugomvi kati ya baba na mama yake,siku ya tukio hilo baba yake alikuwa akimpiga mama yake na mtoto huyo alichoka na tabia hiyo ya baba yake akachukua panga kwa ajili...
  17. Landala

    Sababu za wakoloni kujenga ikulu magogoni

    ikulu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kujengwa magogoni na wakoloni ni kwa sababu za kiusalama kwamba endapo yangetokea machafuko enzi zile iwe rahisi kwa wao kukimbia kwenye handaki lililopo chini kisha kwenda baharini kupanda meli na kukimbia ndo maana baada ya uhuru mwl Nyerere alitaka...
  18. Landala

    Kumbe P-square nao ni member wa freemason.

    Heshima kwenu wana jf wote nilikuwa nasikiliza kipindi cha pilor talk kupitia Times radio kuna mtaalam mmoja wa masuala ya dini na historia anaitwa Rajabu Mlanzi amesema wanamuziki maarufu wa kundi la p-square kutoka Nigeria kuwa nao ni wa member wa kundi la waabudu shetani la freemason.Kumbe...
  19. Landala

    Msaada kuhusu barua ya posa

    Ndugu wanajf wa jinsia ya kiume naombeni msaada wenu juu ya kuandika barua ya posa,je ni maneno gani huandikwa ndani ya barua ya posa na pia muundo wake ukoje?natumaini wanaume wenzangu wanao jua hili suala watanifahamisha.
  20. Landala

    Hongera Star tv kwa usawa kuhusu mauaji kata ya Ngado Singida

    Leo nimeangalia taarifa ya habari ya chanel 10 na ya ITV lakini vituo hivyo vyote viwili vimetoa habari ya upande mmoja kwa kumuonyesha katibu wa UVCCM akilaani mauaji yaliyotokea bila kuonyesha upande wa pili. Lakini kituo cha Star tv pekee ndo kimebalance habari kwa kumuonyesha Mwita Mwikabe...
Back
Top Bottom