Search results

  1. Art

    Hivi ni namna gani ya kugundua bikira feki?

    Habarini Wakuu, Hivi inawezekana vipi kuitambua bikira feki? Ina tofauti gani na bikira halisi?
  2. Art

    Kabila linalowajali zaidi wanawake wanapojifungua,Wachagga wajitamba

    Habarini Wakuu, Kuna siku nilikuwa duka flan hivi na pembeni mwa dirisha la duka hiyo kulikuwa na ubishani mkubwa pamoja na matambo kutoka kwa wachagga wawili wakijisifia kuwa wao wanajua sana kuwalisha wake zao pale wanapojifungua kuliko makabila yote Tanzania. Kwa kawaida mwanamke mzazi wa...
  3. Art

    Tujikumbushe vya zamani kidogo, vimepotelea wapi hivi?

    Vya enzi vizuri wakuu...siku hizoo zilizopita michezo ya watoto ilikuwa ikiwavuta na kuwaweka watoto pamoja sana na ilidumisha umoja na mshikamano hata kwa wazazi. Cha kushangaza watoto wale wa enzi hizo pamoja na michezo yao ya mchana na usiku bado walikuwa na ADABU,HESHIMA na UTII na zaidi...
  4. Art

    Pesa inavyowafanya wazazi kuwaogopa watoto wao

    Habarini Wakuu, Kuna tatizo kubwa sana kwenye jamii zetu sikuhizi la wazazi au wazee kushindwa kuwakemea watoto zao kisa tu wana pesa. Mfano mtoto anaweza akaolewa ila akaamua kuachana na mwenzie bila sabb ya msingi na mzee asiweze kusuluhisha kisa mtoto ndio anamlisha. Pia Mwanamke/Binti...
  5. Art

    Hivi wazee wetu na wazazi wamekosa nguvu ya ushauri na maamuzi kwa wanandoa?

    Habarini Wakuu, Miaka ya nyuma Wazazi wetu walikuwa na nguvu sana ya ushauri na hata ya kufanya maamuzi magumu ktk ndoa ya watoto zao pale ndoa inapoenda ndivyo sivyo. Siku hizi ni wazi kwamba Wazazi na Wazee wengi wamewaachia Wanandoa wenyewe(ambao ni watoto zao) wafanye mengi wayapendayo. Si...
  6. Art

    Je Rais John P Magufuli anatimiza Sera na Ilani ya CCM? Mbona kuna haya?

    Habarini Wakuu, Uwe mshabiki wa Chama Tawala au wa Upinzani ni vigumu kuyapinga ayafanyayo Rais John Pombe Magufuli,kwani mpaka sasa amefanya mambo yenye tija kwa taifa zima na si kwa wanaCCM tu. Kama akiendelea hivi wananchi watarudisha imani zao kwa CCM kwa asilimia kubwa sana kama si zote...
  7. Art

    Wahudumu wa bank ya NMB tawi la Arusha Market ni zaidi ya kero

    Habarini wakuu, Hawa wahudumu wamekuwa kero kwa kuchelewa kutoa huduma kwa wateja wao. Kama ni mkazi wa Arusha na umewahi kwenda NMB ya Arusha market utagundua uzembe mkubwa haswa. Imetokea mara 3 mfululizo nimeshuhudia mteja mmoja akihudumiwa kwa zaidi ya dakika 15 mpk 20 na tellers. Wateja...
Back
Top Bottom