Search results

  1. akajasembamba

    Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Matokeo ya uharakati wa wanawake feminism, zinapopitishwa sheria za kupendelea wanawake na kukomoa wanaume wanawake wanajisahau na wao watazeeka watoto wao wa kiume au wa kike wakifariki wao wazee hawatapata kitu jasho lao kwa mtoto linaenda kwa mke na ndugu zake tu.
  2. akajasembamba

    Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi

    Unatokomeza magaidi wanaovaa hijab na hawana uniform!! Hawana kambi!! Labda utumie uchawi siyo jeshi, Boko haramu siyo wanajeshi huwezi kuwamaliza kwa kutumia jeshi.
  3. akajasembamba

    Naelekea Pemba, naombeni uzoefu wa kimazingira

    Jihadhari na popo bawa
  4. akajasembamba

    Nahisi kuna kitu kizito we subiri nione mchezo unapoishia

    Ah wapi hii ni kauli ya kutetea ushetani wa wanawake, mtoto kama siyo damu yako aende kwa baba yake yeye na mama yake. Mwisho wa siku unalea halafu inakuwa kama Diamond Platnumz unaambiwa we mzee Naseeb siyo baba baba ni mzee Nyange. Tushukuru Mungu DNA imegunduliwa. DNA ndiyo mwarobaini...
  5. akajasembamba

    Huwa nashangaa sana CHADEMA kumuona Putin shujaa halafu wanamkandia Magufuli!

    Nguvu ya Urusi ikirudi chadema na vyama vingi vinafutwa. Kina Yeriko Nyenyere wanasahau wana uhuru wa kuongea na kukosoa sababu dola ya Urusi ilikufa, wangekuwa wapo Urusi muda huu ama wako jela au wamekufa.
  6. akajasembamba

    Hamas na Houth wakutana kuratibu mapigo yao dhidi ya Israel

    Because it is written in their scriptures/ books they should attack Jews and we other infidels!
  7. akajasembamba

    Hamas na Houth wakutana kuratibu mapigo yao dhidi ya Israel

    Israel, UK na US wanajisumbua kuchagua pa kupiga, wkt Hamas, Al Qaeda, Isis, Hizibure na Houth hawachagui, hawaangalii raia wala askari, they should give them a taste of their own medicine, ugaidi ungekoma duniani.
  8. akajasembamba

    Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

    Jeshi la polisi litoe wito pia watu wawe waaminifu katika ndoa zao, na ambao hawajafunga ndoa wawe waaminifu kwenye mahusiano yao, la sivyo mauaji hayatapungua kamwe. Siku hizi watu wanauza ngono bila kujali ana ndoa au mahusiano, tamaa ya hela mbele sana. Siungi mkono kuua kwa namna yeyote...
  9. akajasembamba

    Waandishi wambwaga Freeman Mbowe Mahakamani. Nyumba yaachiwa

    Wewe ndiyo nyumbu mgumu kuelewa, kesi aliyohukumiwa mwana alipe baba kwa kumatiwa na kupiga mnada nyumba yake!! Wakati mwanawe ni mtu mzima!
  10. akajasembamba

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Majibu ya kina Khadija Kopa haya! Na kama mtu hapendi wakristo ahamie Saudi Arabia au Afghanistan, hii ni nchi ya watu wa dini zote na wasio na dini. Azam iliomba kutoa huduma kwa watz wote lazma iache ubaguzi ndiyo sheria za nchi.
  11. akajasembamba

    Masela wasome hii watapata kitu

    Nanukuu "kaambiwa hata mtoto siyo wake" yaani walikuwa wakijuwa ila walikuwa wakimchora tu na huduma anatoa! Ndiyo maana matukio ya mauaji yanazidi kuongezeka kila kukicha, wanawake wengi ni wezi na matapeli.
  12. akajasembamba

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Wataanzia na Miandiko handwriting siyo lazima ifanane hadi kwa mapacha,
  13. akajasembamba

    Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume

    Okay nilikuwa siwaelewi wataliban sasa naanza kuwaelewa.
  14. akajasembamba

    Wanajeshi wa Marekani wakanyaga bomu huko Ukraine

    Hao Houth ni wajinga kuliko, wanashambulia meli za kiraia na waingereza wakishambulia vijumba vyao vya kiraia na mahahazi yao huko Yemen watalia genocide.
  15. akajasembamba

    Mwinyi ndiye Rais bora kuwahi kutokea katika Taifa hili, anaondoka wala hatuna kinyongo nae

    Mwenyewe alisema hakuna binadamu aliye mkamilifu, makosa alikuwa nayo mengi tu.
  16. akajasembamba

    Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

    "Wapalestina 100 wauana kwa kukanyagana wakati wakipora na kuiba chakula cha msaada walicholetewa na Waisraeli"
  17. akajasembamba

    Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

    Kama mnadai mlipwe, muhudumiwe , matumizi nk nk tuwafikishe tena kileleni, kama mnalala kama maiti au magogo huwezi fika kileleni, zungusha kiuno utafika hadi mount Mount Everest
  18. akajasembamba

    Uraibu wa mizigo yenye makalio makubwa

    Ni kawaida misambwanda ndiyo pambo kuu la mwanamke, ila fanya mazoezi ya jogging kupunguza hamu nyingi.
Back
Top Bottom