Search results

  1. Ms Judith

    Wapi naweza kupata 'hair remover' hapa Dar?

    Wapendwa, Heri ya mwaka mpya! Naomba nisaidieni mwenzenu, Nimehangaika sana kutafuta Hair remover, ile dawa ya kuondolea nywele na vinyweleo mwilini, unapaka sehemu unayotaka kuondoa nywele/vinyweleo, unasubiri kama dakika tano hivi, kisha unaosha kwa maji na nywele/vinyweleo vyote vinakuwa...
  2. Ms Judith

    Kwa waliosajili kampuni siku za karibuni

    Wapendwa, Natumaini hamjambo na mnaendelea vyema na majukumu. Naomba kwa mwenye latest information anisaidie kujua kusajili kampuni ya up to Tsh 500,000 nominal capital inagharimu jumla ya Ths. ngapi na zinahitajika nakala (copies) ngapi za memorandum and articles of association. Asanteni...
  3. Ms Judith

    "uraia" wa tz au z'bar na uhai wa muungano

    Wapendwa, kwa wale waliomsikiliza Mzee Warioba mtakumbuka kuwa kidogo hali ya hewa bungeni ichafuke pale Warioba aliposema kuwa tume yake inapendekeza suala la uraia libaki kuwa la muungano, yaani muungano uwe wa nchi mbili, serikali tatu ila uraia wa nchi moja (Tanzania). nionavyo mimi, kwa...
  4. Ms Judith

    Modem ya tigo inanitatiza

    wapendwa, habari za siku nyingi. kwa sasa niko dar na katika kujiweka sawa na mambo ya mtandao nikanunua modem ya tigo ya kutumia kwenye laptop yangu. ila cha kwa kweli sijaifurahia huduma hii. niliponunu waliniambia ina GB 3 ila katika kuitumia haina hata KB 1! hilo si la kusumbua sana ila...
  5. Ms Judith

    msaada kuhusu modem ya tigo

    wapendwa, habari za siku nyingi. kwa sasa niko dar na katika kujiweka sawa na mambo ya mtandao nikanunua modem ya tigo ya kutumia kwenye laptop yangu. ila cha kwa kweli sijaifurahia huduma hii. niliponunu waliniambia ina GB 3 ila katika kuitumia haina hata KB 1! hilo si la kusumbua sana ila...
  6. Ms Judith

    CUF wameshtukia nini kidongo chekundu kwa ghafla namna hii??

    Katoliki wasogeza mkutano wa CUF na Asha Bani MKUTANO mkubwa wa hadhara uliokuwa ufanywe na Chama cha Wananchi (CUF) katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam kesho, umeahirishwa kutokana mkutano wa kimataifa wa uponyaji unaoendeshwa na Kanisa Katoliki, jimbo la Da es...
  7. Ms Judith

    Tume ya katiba: Kipenga kimepulizwa!!

    HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MHE. JOSEPH WARIOBA KATIKA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 19 JUNI, 2012 KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE, DAR ES SALAAM Ndugu Wanahabari, Nianze kwa kuwashukuru kwa kuitikia mwaliko wetu. Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilianza kazi mwanzoni...
  8. Ms Judith

    nini kinaendela hapa?

    wapendwa, kama ni wewe unefanyaje? mbarikiwe sana, Glory to God!
  9. Ms Judith

    Bado naiamini CCM!!!

    wapendwa, nimehuzunishwa na habari za kuchomwa moto makanisa huko Zanzibar! napenda kusema kuwa, kanisa laweza kuchomwa moto na hata biblia pia! kisichoweza kuchomwa moto ni Mungu tu. wale maaskari wa kiyahudi walipijitahidi kumuua Mwana wa Mungu kwa ruhusa ya pilato aliyeshinikizwa na wakuu...
  10. Ms Judith

    Fumbo: Huko Ndani Kuna Nini?

    1. Wapendwa nijuzeni, huko ndani kuna nini? Tangu zama nilidhani, huko ndiko utamuni, ni punde nimebaini, si kutamu asilani, Huko ndani kuna nini, wapendwa nijuzeni 2. Kiumbe huyu makini, hakomi kurandaranda, Amfumapo mwandani, huparamia kitanda, Kasiye kama tufani, hutupia mbali mkanda, Huko...
  11. Ms Judith

    "Babu" mwingine anapatikana Geita mlimani, karibuni!!

    Aliyekaribishwa Ikulu ampa JK sharti la kupanda mlima Send to a friend Wednesday, 14 March 2012 19:13 0diggsdigg Salum Maige,Geita SAKATA la muhubiri na muumini wa Kanisa la Kibaptist lililopo Wilayani Geita la kufunga bila kula kwa muda usiojulikana akifanya maombi kwa ajili ya Rais...
  12. Ms Judith

    Mwisho wa enzi za Babu Loliondo umefika, lakini makovu yamebaki

    Na Mwema Vedasto IMANI ni fumbo kubwa ambalo limemzunguka mwanadamu tangu mwanzo wa historia yake. Watu wanatafuta majibu ya maswali yasiyoelezeka kisayansi, watu wanautazama ulimwengu jinsi ulivyo, watu wanataka kujua asili ya ulimwengu wanamoishi, asili yao wenyewe, na zaidi wanataka...
  13. Ms Judith

    siasa inapochanganywa kwenye sheria!!

    Dereva wa DC Mwanga matatani Send to a friend Sunday, 04 March 2012 13:02 0digg Na Daniel Mjema, Moshi DEREVA wa Mkuu wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, ameingia matatani baada ya kudaiwa kukiri kumpa mimba mtoto wa bosi wake huyo.Taarifa za dereva huyo (jina tunalo) kumjaza mimba...
  14. Ms Judith

    Rambirambi Toka Fungate!!!

    wapendwa, poleni sana na msiba mkubwa wa mh. Regia. siku niliyofunga ndoa ndiyo siku aliyofariki na nilipata habari nikiwa salon nikiandaliwa kwa ajili ya harusi yangu, niliumia, lakini sikuwa na la kufanya. tumuombe raha ya milele mpendwa wetu. kwa leo natoa pole tu, Mungu akipeenda...
  15. Ms Judith

    Mwaka Mpya na Maisha Mapya... Ooh, Glory to God!

    wapendwa, nnatumaini mnakumbuka vizuri thread yangu hii hapo chini: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/131459-siku-30-nzito-za-maisha-yangu-ooh-glory-to-god.html kwa sasa niko safarini kurudi dar. safari hii ni ya pekee kwangu kwa sababu huko dar pamoja na mambo mengine...
  16. Ms Judith

    Mapitio ya wimbo: JKT Taarab - Chura

    wapendwa, nimeweka wimbo wa CHURA wa JKT Taarab kwenye lik hii hapo chini: https://www.jamiiforums.com/entertainment/208761-chura-jkt-taarab-walitisha-sana-enzi-hizo.html naomba tujadili usahihi wa maneno hayoo yaliyokolezwa rangi nyekundu 1. mimi nafikiri badala ya kusema nilikisia...
  17. Ms Judith

    CHURA: JKT Taarab walitisha sana enzi hizo !

    Wapendwa, Hakuna ubishi kuwa huu wimbo ni wa zamani sana na sijui mwaka gani ulitungwa na kuchezwa ila kwa kweli naupenda sana maudhui yake!! Wakubwa wanasema umejaa mafumbo matupu, anayejua unafumba nini, naomba atujuze. WIMBO: Chura ALBUM: Sina hakika KUNDI: JKT Taarab MASHAIRI 1. Chura...
  18. Ms Judith

    Keren-Happuch: My new Year Messege

    wapendwa heri ya mwaka mpya 2012! napanga kufanya safari moja muhimu sana nyumbani Tanzania katika kipindi cha wiki moja ijayo. wakati nikitafakari yote yatokanayo na safari hiyo, ndipo nilipokumbuka simulizi maarufu la Ayubu 42:9-17 ambalo nataka tutafakari kwa pamoja wakati huu...
  19. Ms Judith

    Wanigeria tena!! sasa ni sudan kusini, wapendwa kuweni makini

    My Dearest one Greetings my dearest one,my name is Ruki justin yak am 25 years old Girl from Southern sudan.I want to have a Good relationship with you, I need to tell you more things, but first I need your help to Stand for me as a trustee. My father Dr. Justin Yak Arop was the former...
  20. Ms Judith

    Greatest Joke of the Day!!

    A woman is having an affair during the day while her husband is at work. Her nine-year-old son comes home unexpectedly, sees the illegal lovers and hides in the bedroom cupboard to watch. Then the woman's husband unexpectedly comes home. She hides her lover in the cupboard, not realizing that...
Back
Top Bottom