Search results

  1. Ms Judith

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Dah, wapendwa, Mi natafuta wimbo wa Lovy Longomba, nafikiri unaitwa Amina (Sina hakika Na JINA LAKE). Ubeti mmoja unaimbwa "...kuchota maji pipa tanooo kutoka mtoniii, fikiri nitaweza vipii". Na kibwagizo kinaimbwa ".... Amina kipenzi changu Mimi sitaweza, agizo la wazazi wako linaniwia...
  2. Ms Judith

    Wapi naweza kupata 'hair remover' hapa Dar?

    si kuwa nimekosa kila mahali, ila kutokana na shughuli zangu, nimetafuta zaidi maeneo ya mlimani city, mwenge, kijitonyama na makumbumbusha kwa sababu ya ukaribu tu wa kufika maenedo hayo (convenience). otherwise, asanteni wapendwa, nitapitia huko kariakoo kama mlivyoshauri. mbarikiwe sana...
  3. Ms Judith

    Wapi naweza kupata 'hair remover' hapa Dar?

    Mpendwa, kwa kweli jinsi nilivyochoka kutafuta, nikipata yoyote tu mi niko OKAY, nashukuru sana mpendwa blessed
  4. Ms Judith

    Wapi naweza kupata 'hair remover' hapa Dar?

    thanks Mamii, niko serious na nitajitahidi. ubarikiwe sama mpendwa.
  5. Ms Judith

    Wapi naweza kupata 'hair remover' hapa Dar?

    Mpendwa, siyo uongo. nisaidie pease kama unajua asante na ubarikiwe.
  6. Ms Judith

    Wapi naweza kupata 'hair remover' hapa Dar?

    Wapendwa, Heri ya mwaka mpya! Naomba nisaidieni mwenzenu, Nimehangaika sana kutafuta Hair remover, ile dawa ya kuondolea nywele na vinyweleo mwilini, unapaka sehemu unayotaka kuondoa nywele/vinyweleo, unasubiri kama dakika tano hivi, kisha unaosha kwa maji na nywele/vinyweleo vyote vinakuwa...
  7. Ms Judith

    CHURA: JKT Taarab walitisha sana enzi hizo !

    Habari mpendwa, za kupotea? ni juzi tu nimekumbuka wimbo wa super lovii, sikumbuki unaitwaje ila kuna maneno kama: "..............nilete maji pipa tano kwa mikono kutoka mtoni, fikiri nitaweza vipi...." halafu wanaitikia: ".......... Amina kipenzi changu mimi sitaweza, agizo la wazazi wako...
  8. Ms Judith

    Msaada: Nahitaji kuzaa na mume wa mtu ambae mkewe hajazaa nae tangu wafunge ndoa mwaka 2001

    swali la nyongeza, "na huyo baba ana uhakika kuwa anazaa?" isije ikawa yeye ndio mgumba! mshauri waende kufanyiwa vipimo hospitali na wewe jitenge na uzinzi ubarikiwe sana mpendwa Glory to God!
  9. Ms Judith

    Kachinjwa Mchana Kweupe ~ Moshi Bar

    Ni kweli mpendwa, niongeze tu. kama bado mnakumbuka ukiukwaji wa waziwazi wa kanuni za bunge dhidi ya wapinzani wakati wa madam Makinda na Mr. Ndugai, wadau walikemea sana ila upande wa CCM walikuwa wakifurahi! hayo nayo yalikuwa ni matendo ya kujichukulia sheria mkononi!! naweza kusema kuwa...
  10. Ms Judith

    TCRA yaipa onyo kali TBC1 kwa kosa la Ubaguzi wa kusoma habari za Magazetini

    siku ile niliuliza swali humu kama TBC hawataweza kuchukuliwa hatua za kisheria kwa kudanganya umma lakini sikupata ufafanuzi. kumbe inawezekana! basi iwe mwanzo wa kutofumbia macho mambo ya uongo na upotoshaji wa dhahiri unaofanywa na vyombo vya habari, dola kama polisi au vingine vyovyote...
  11. Ms Judith

    Maelfu wampokea Magufuli na kuhutubia Tunduma

    wapendwa, mbona wanaCCM wachache hivyo?? barikiweni sana Glory to God!
  12. Ms Judith

    Hizi ndio kura CCM hawazitaki!

    kaka, umesahau kura za wanywa viroba! ubarikiwe, Glory to God!
  13. Ms Judith

    Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    wapendwa, hii inasikitisha kwa kweli. hata kama ni sera zao, naona kama wamefikia kudanganya umma. mfano waliposoma gazeti la majira na nipashe! hivi hakuna uwezekano wa kulalamikiwa kwenye baraza la habari kwa kudanganya umma? mbarikiwe sana wapendwa, Glory to God!
  14. Ms Judith

    Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

    asante sana kwa ufafanuzi na majibu mazuri uliyotoa katika uzi huu. nami naomba namba zao za simu mpendwa, ubarikiwe sana. Glory to God!
  15. Ms Judith

    Kwa waliosajili kampuni siku za karibuni

    aasante sana na ubarikiwe sana mpendwa. Glory to God!
  16. Ms Judith

    Kwa waliosajili kampuni siku za karibuni

    asante sana mpendwa na ubarikiwe sana Glory to God!
  17. Ms Judith

    Kwa waliosajili kampuni siku za karibuni

    Yeah, mtaji wa kuandikisha laki tano. usijali gharama za kusajili, ninachotaka kujua ni jumla ya kiasi gani natakiwa nilipe. kwa sababu namtuma kijana anisaidie kuweka sawa logistics. ikishasajiliwa uwekezaji utaongezeka. vipi na nakala zinatakiwa ngapi? ubarikiwe sana mpendwa, Glory to God!
  18. Ms Judith

    Kwa waliosajili kampuni siku za karibuni

    Wapendwa, Natumaini hamjambo na mnaendelea vyema na majukumu. Naomba kwa mwenye latest information anisaidie kujua kusajili kampuni ya up to Tsh 500,000 nominal capital inagharimu jumla ya Ths. ngapi na zinahitajika nakala (copies) ngapi za memorandum and articles of association. Asanteni...
  19. Ms Judith

    Naumwa hata sijui nini, Nipeni ushauri mbadala

    pole sana mpendwa. nakushauri utumie multvitamin, zinasaidia sana kama una tatizo usilo na hakika nalo. ila umejumuisha neno "pregnant" kwenye magonjwa uliyopima. nadhani ujauzito si ugonjwa. ubarikiwe sana mpendwa Glory to God!
  20. Ms Judith

    Sakata la Mbasha: Kanisa la Ufufuo na Uzima Tunasema...

    Oooh, my God!! eti nini? Mch. Gwajima na Flora Mbasha?? Mi sikuyajua haya! na mume wa flora Mbasha yuko wapi sasa hivi? amekamatwa? nini kinaendelea kwenye kesi hii jamani. Mungu atunusuru. Amen mbarikiwe sana wapendwa, Glory to God!
Back
Top Bottom