Search results

  1. danny01

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Wengine wenye akili timamu na uwezo wa kufiri tusio lalamika wenye kujielewa tumeona tunaelekea wapi ,pili unahitaji kutambua serikali ni wananchi .
  2. danny01

    Kama hawa ndio Mawaziri wa rais Magufuli, kweli CCM ni ile ile

    Tena hilo gazeti wa halili wake wakina yeriko nyerere
  3. danny01

    Kama hawa ndio Mawaziri wa rais Magufuli, kweli CCM ni ile ile

    hakuna kikao kilichowekwa na wanaccm kumuonya wana ccm wanakaa kwa ajili ya uchaguzi wa Zanzibar
  4. danny01

    Mnyika: Ripoti za Mwakyembe kuhusu madudu bandarini ziwekwe wazi, sio kutumbua majipu tu!

    Hahaha wanataka report isomwe ili watu wajipange acha serikali ifanyekazi yake kimya kimya mtapambana nayo mahakamani tu kama wataona wanaonewa
  5. danny01

    Maoni: Wabunge wa UKAWA toeni tamko kumtambua Rais Magufuli kwa masharti haya...

    Hahaha jamaaa nyie mnatabu sana sijui mnashindwa kukaa kimya kumwacha Raisi wetu afanye kazi yake
  6. danny01

    Wakenya mwaka huu ni wetu

    Kenya mwaka wenu huu kweli
  7. danny01

    January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    Hahaha jamaa aliutegemea uwaziri mkuu
  8. danny01

    Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

    Ndio tunavyotaka ili tuendeleee futa matongo tongo yako kwanza
  9. danny01

    Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Hahaha katika vilaza wa mwisho wewe upo wakati office ya bunge inaanda maandalizi ya hizi sherehe ya walitumia muda gani kaka kuaanda sherehe yao ?
  10. danny01

    Kibadeni in Action: Kili Stars 4-0 Somalia

    Sio kuifunga somalia tu sisi ndio mabingwa wa michuano hii mwaka huu
  11. danny01

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (heslb) iwe chanzo cha kuinua elimu yetu

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) inaweza ikawa kama chanzo cha kuinua elimu yetu,kama ikitumika ipasavyo kwenye swala la utoaji mikopo kwa wanafunzi .Bodi ijaribu kuweka masharti ambayo yata wafanya wanafunzi kuongeza juhudi katika masomo yao kwa kuweka kiwango flani cha ufauru ambacho...
  12. danny01

    Msaada: Internet ya 4G ya mtandao upi ipo vizuri ktk moderm?

    The 4G network is the latest also it better than 3G so buy the 4G modem has a speed ..but you can find it only at a Tigo network ndugu..
  13. danny01

    Dodoma: Rais kuhutubia Bunge na Waziri Mkuu kujulikana kesho, UKAWA bado hawasomeki

    Pili walitegemea kushinda kiti cha speaker ilihali wapo wachache bungeni
  14. danny01

    Nahitaji dawa ya kurefusha uume

    fanya mazoezi sana sana ya miguu kimbia ,chuchumaa na kuinuka ,kula ndizi mbivu ,kula matikiti maji mwisho jiamini na hicho hicho utaweza mlizisha mwanamke kuliko kutaka mb kubwa
  15. danny01

    Kamati Kuu ya CCM yawapitisha Job Ndugai, Dkt. Tulia Mwansasu na Abdullah Mwinyi kugombea Uspika

    Kaka kama mtu anapenda kazi ya baba mta mkataza ,ndio maana ukiuliza watoto wengi unataka kazi gani atakwambia kama ya baba so watanzania tuwe waelewa kidogo ...
  16. danny01

    Kamati Kuu ya CCM yawapitisha Job Ndugai, Dkt. Tulia Mwansasu na Abdullah Mwinyi kugombea Uspika

    so wanaamua kuwekana kienyeji bungeni kisa hawa tawali nchi ,nilipenda kuona vyama vya upinzani vinafanya upitishwaji wa wabunge wao kwa wazi yani wanashindanisha watu wenye sifa kula za maoni ndio ziwe zinazungumza sio kisa kubenea kawa mbunge basi mkwe mbunge wa viti maalum ina maana ukawa...
  17. danny01

    Kamati Kuu ya CCM yawapitisha Job Ndugai, Dkt. Tulia Mwansasu na Abdullah Mwinyi kugombea Uspika

    Kwa nn? Usishangae viti maalum vya ukawa ndugu
  18. danny01

    Mzee Sitta hiyo ndiyo CCM, nenda mahakamani

    ichi ndicho chama akiyumbishwi na watu kama hawa ichi nichama cha watu wote sio hawa wachache wanaojifanya wababe bila wao ccm hakuna kitu ,ajitokeze mwengine sasa
  19. danny01

    Ikulu na Wizara ya Afya lugha gongana

    Kuna vitanda vimetoka sekta binafsi kusaidia msongamano pamoja na magodoro so na sema fuatiria mambo sio unaongea tu
Back
Top Bottom