Search results

  1. jacksonyy

    Natafuta kioo cha mbele cha Mazda CX 5

    Mkuu mm nipo mbioni kununua hiyo gari hasa ya petrol ila nakua discourage kua spare bongo ni ishu. Vip tofauti na kioo hakuna changamoto nyingine?
  2. jacksonyy

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Mazda CX 5

    Naipenda sana hii gari japo bongo sizioni. Wajuzi wa hizi kazi hii gari inachangamoto gani? Hasa hizi za (2012 - 2016)
  3. jacksonyy

    Majibu haya huashiria mwanamke uliyemtongoza amekubali

    Hapo unamwambia mambo ya X na Y intercept[emoji28] ukisolve kwa Y, x =0
  4. jacksonyy

    Naomba kujua tiba ya ongezeko la damu mwilini?

    Mimi pia nina Tatizo kama hilo last month nimepima nina damu 19 but naendelea na tizi mdomdo
  5. jacksonyy

    Msaada: Nina udomo zege usiopimika

    Anza naye stori za corona then hamia kwenye ligi kuu[emoji28] mpaka hapo marekani hii hapa na maandamano them malizia na mahusiano
  6. jacksonyy

    Wewe kaka wewe, toka huko PM njoo uniahidi hapa

    Wahenga walisema ukiamua kula haramu Basi tafuta iliyonona[emoji28][emoji28]hiyo haramu imenona maana 30k kila siku sio mchezo
  7. jacksonyy

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Kiongozi ulaaniwe kwa pumba hizi
  8. jacksonyy

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Siitafuti mali by Tumaini shangilieni Arusha
  9. jacksonyy

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Nazani mwaka huu itachelewa sababu ya Corona ila hua inafanyika march au April kila Mwaka.
  10. jacksonyy

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Niliuziwa hii kitu fake kwa 50k japo nasikia kibongo inauzwa kama 200k ipo good kama ukibahatisha Og yake
  11. jacksonyy

    Msaada: Mpenzi wangu nahisi ni tapeli

    Chukua time yako mkuu
  12. jacksonyy

    Nawauliza wanaume: Umeshawahi kumuwekea mpenzi wako pedi kwenye pant yake? ilikuaje?

    Kuna makampuni yanatengeneza pedi za Wanaume nilisikia somewhere BF SUMA wanazo japo sijajua zinatumikaje na nyakati gani🤷‍♂️
  13. jacksonyy

    Tabia za mwanamke wa kigogo

    Mkuu kama unampango huo sijui unaoa familia ipi maana zinatofautiana but generally; 1. Walalamikaji sana 2. Kila jambo wanaona wanaonewa 3. Wanapenda kuleta ndugu zao walipoolewa 4. Bwana yesu asifiwe zimejaa midomoni mwao but hua hawamaanishi hivyo 5. Wanapenda fair sana so uwe makini
  14. jacksonyy

    Dawa za Anxiety

    Mkuu hizi ni dalili za mtu Aliyekua anajichukulia sheria mkononi yaani chaputa member [emoji12] I hope na shida ya kusahau sahau unayo pia
  15. jacksonyy

    Mabinti waliolelewa kimayai na changamoto ya mahusiano

    Zitakua za Tumbo na manyonyo [emoji12]
  16. jacksonyy

    Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    Mzee hapo kwenye kuombewa ulimuambiaje mchungaji[emoji12]? Maana sipaji picha ulisemaje[emoji23][emoji23][emoji23]
  17. jacksonyy

    Wanaume wengi kabla ya tendo wanaenda haja kubwa

    Mabaharia wa DSM wakiona dalili za kupewa papuchu matumbo yanavuruga[emoji23][emoji23] maana wamekula kiepe na juice ya ukwaju
  18. jacksonyy

    Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

    Mm nilikutana na kidem Cha form six mwaka flani nikakipiga sound kipindi hicho nipo second year nafukuzia kadigrii kangu Oneday akaja getto nikaforce kupiga mzigo mtoto kagoma. Mida ikasogea mpaka nikakata tamaa, kumbe na kenyewe kana kipuro hatari ila hakataki tu kunipa kirahisi[emoji41] basi...
Back
Top Bottom