Search results

  1. nankumene

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hao ndio tabia Yao, sometime unadeposit haifiki ukifuatilia wanasema waliirudisha kwako wakati hawakurudisha, mi walishanishinda
  2. nankumene

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Fanya mpango uhamie Dom mkoa umechangamka sana now kila biashara inakubali
  3. nankumene

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu ni chimbo gani mnatoa matreni ya betpawa/SPORTYBET?
  4. nankumene

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah hv ni Mimi tu napata changamoto kdeposit SPORTYBET kwa tgopesa au Kuna tatizo gan
  5. nankumene

    Mliosema tangia mwanzo kuwa Yanga ni 'Underdog' kwenye kundi lake mpo humu?

    Kuwa underdog hakumaanish kuwa huwez vuka au kuifunga timu kubwa, yanga alikua underdog kwa Al ahly na belouzdad hio Iko wazi, ila hizi timu kubwa zitakua zinaiogopa sana hii nchi maana c kwa kipigo kile alichokula mwarabu jana
  6. nankumene

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio yaan idadi ya magoli single team itascore kwa kufuatana bila mpinzani kuscore, mfano home team anascore la kwanza la pili la tatu af baadae away anascore 1 mechi Inaisha 3-1, home team amescore 3 goals in a row, km angefunga la kwanza la pili af away akapata Moja baadae home akaongeza la...
  7. nankumene

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Magoli yafuatane, mfano timu ifunge goli mbili mfululizo bila nyngne kuscore Hapo katikati
  8. nankumene

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah hongera, umewapigia au umechat nao?
  9. nankumene

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu Hawa helabet kutoa pesa ni tatizo
  10. nankumene

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa jamaa ni kero sana kwenye kutoa, nikifanikiwa kutoa na app Yao nafuta kabisa
  11. nankumene

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    27D43B sportbet, odds 62
  12. nankumene

    Askofu Gamanywa: Hamas ni cha mtoto, Waarabu wote wataungana kutaka kuifuta Israel lakini Watashindwa kwa mujibu wa maandiko!

    Km hivi ndvyo watu wanavyouelewa huu mgogoro basi ndio maana hauishi na hautoisha mpk big crunch
  13. nankumene

    Wakristo: Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke

    Huu mgogoro hauhusiani sn na dini hizi pendwa km wengi tunavyodhani,
Back
Top Bottom