Search results

  1. M

    Alichokifanya Rais Magufuli Iringa nimetambua kuwa ana utu sana

    Raisi akilipa wema penye ubaya. Hakika atapendwa sana .akipunguza kodi za biashara atapendwa sana ..
  2. M

    Serikali yatangaza bei ya kuuzia pamba 2018/2019

    kwa wakulima wao bei ikiwa hairidhishi wana haki ya kuchagua kulima au kuacha zao kama wakulima wa mbaazi
  3. M

    Ravinder Kaushik ''Black Tiger'' : Jasusi mbobezi aliyefia jela ya ugenini

    Hakika hii inaonyesha hakuna nchi iliyo salamA na jirani yake .ma shushushu Wa majirani wako kila secta as nchi jirani
  4. M

    Kigwangalla: Dege kubwa la watalii zaidi ya 300 latua uwanja wa KIA, utalii Tanzania wazidi kukua

    Kwengine wameandika limepata maafa kama ndege Ile ya emirates kushindwa kutua seachells
  5. M

    Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

    Asante sana inafaa sana kupima. Kwa kila mwanamme alozidi miaka 40 .nilisha wahi kupima kwa ultra sound zamani .
  6. M

    Katoto kangu kanaumwa ugonjwa wa ngozi jamani

    Kaka chuma majani ya mpera chemsha. Fanya maji yake ya kuogea kila akikoga. Mola atamsaidia apone. Ni dawa nzuri sana
  7. M

    Mwenyekiti CCM Mara: Mafisadi wa trilioni 1.5 wanyongwe

    Pengine sikuwepo lakini huu upoteaji ni Wa miaka mingapi?
  8. M

    Dini na Siasa: Kuna tofauti kubwa kati ya Maaskofu wa Katoliki na akina Kakobe

    Watu wanasahau kuwa uongozi Wa kwanzA alopewa adam katika maisha yake ndio kufuata maagizo ya aliye muumba na iliendelea hivyo .mambo yanaharibika wanadamu wakitunga sheria za kuwatawala watu. Sheria zikatupwa. Wana israel (yakubu)wakachukuliwa kuwa watumwa .musa akaletwa na sheria au mfumo...
  9. M

    Shule ya msingi UK: Ruksa kwa watoto wa kiume kuvaa SKETI

    Ni mila zao Scotland wanaume huvaa sketi .kwa hiyo sawa tu
  10. M

    Ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imezuiliwa nchini Canada kutua nchini wakati wowote

    Wakati mwengine unajikuta Mahal ambako hasara haiwi issue. N.a. linafanywa linalo hitajika .ikiwa hasara ni ndogo kupita kujikwamua kiuchumi. Unakubali hasara. Raisi kafanya linalo paswa. Tumpe hongera kwa hili
  11. M

    Faiza Ally amwaga povu kisa Zari kupata deal Tanzania

    Nakuunga mkono faizal na kwa hili nanyi mjitahidi kununua bidhaa zinazo wachagua Wa tz katika kutangaza. Simple mathematics.
  12. M

    Kwanini nchi ya Ufilipino inachochea ushoga kwenye tamthilia zake?

    Hujasema dhumuni lako. Ile ukweli ushoga nchi as mashariki ya mbali umekubalika kwenye society zao .
  13. M

    Natafuta Paka

    Ninao paka kabila hatari sana kuwinda panya. Na kula .wako tanga
  14. M

    Baba ake Ommy Dimpoz alalamika kutengwa na mwanae

    Mzee shukuru sana .mungu anakupenda hataki ule pesa inayotengenezwa ki haramu. Kabiliana na hali kwa kushukuru
Back
Top Bottom