Search results

  1. M

    OMBI: Serikali ingilia kati biashara 'mpya' ya Forex

    Nakupa Big up sana Mkuu kwa huu uzi. Upo smart Upstairs. Japo najua kwa vile wabongo hatupendi kitu kinaitwa Regulations, Basi watauchukulia huu ushauri wako negative.
  2. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Yaap! Mi naaplly kanuni ile ile...Ya msuli yatima . but katika forex ni muhimu sana kuwaangila waliokutangulia wanafanya nini! COPY AND PASTE THIER EXPERIENCE
  3. M

    MALI MPYA MALI MPYA IKO SHAMBANI

    Hongera sana kiongozi, pilipili yako iko vizuri sana. Wish u all the best, Hope utapiga pesa nzuri tu, Pipili mbuzi sokoni huwa hazichukui time!
  4. M

    MALI MPYA MALI MPYA IKO SHAMBANI

    Unapatikana wapi? Embu chek na madalali wa pale Ilala sokoni. Wanaweza kukusaidia. Pilipili huwa zinatoka kwa bei nzuri sana sokoni kama umefanya timing. Nitafte kwa +255656106906 nikuunganishe kwa dalali. Alinisaidia wakati nauza bamia zangu
  5. M

    Arsenal yamsajili Nasri

    Asee...kweli kaburi. Nimetoa machoooo wweeee..
  6. M

    Ulimwengu wa roho ni timilifu

    Unazipozaje?.
  7. M

    Ushauri: Nina Mkopo wa TZS Million 5, nataka kununua gunia za Mchele toka Mbeya kuleta Dar, inalipa?

    Jaman, tuwe na tabia ya kuleta mrejesho wa yale tuliyoombabushauri, naamini kuna mengi wengine titajifunza kutoka kwe huo mrejesho wako
  8. M

    Kuna ulazima dhana ya "Human Evolution" ifutwe shule ya msingi hadi form six

    Hbrn za asubuhi. ULIYEETA HII HABARI NAKUPONGEZA MNO! Me naona wangufuta kbsaaa hii story eti binadamu alianza kama nyani!....ndo imefanya wazungu kutudharau hadi leo na kutuona waafrika kama bdo tunafanana na nyani...na pia, imetufanya waafrika kutokujua our real identity! Kwamba chanzo chetu...
  9. M

    Biashara ya mchele Morogoro, Shinyanga

    Hbr za asubuhi, Nipo interested na hii biashara ya Mpunga, sasa now npo kwe research. Plz mwenye uzoefu kuhusu bei nzuri ya kuupeleka mpunga sokoni ni kipindi gani? Na je nikihifadhi mpunga kwe godown for 4 months hauwez kuharibika au kupoteza ubora wake???
  10. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Jana ndo nikipata kusoma hii thread yako, the Leo nimeingia Net na kusoma kuhusu hii bisness, i see it amazing! Plz can u help me learn more an Join?
  11. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ontario, plz, naomba nafasi ya training kwa hao 300, je nitapata?
  12. M

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Aisee....niliangalia taarifa ya habr last week..ilikuwa inasema hv....SHEHENA YA MADAWA YA KULEVYA YAKAMATWa TANGA....nliishiwa pozi...sheehena ya meli...meaning kwamba kuna kontena kibao humo za madawa...hv inakuwaje wanasafirisha madawa kama viile mitumba?
Back
Top Bottom