Search results

  1. pdozen_nation

    Piki piki ya hero hunter cc 125

    naomba kuuliza wakuu hii piki piki ni inzuri sio kimuonekano apana perfomance yake kwenye barabara korofi na lami? pia vifaa vyake na mafundi wakawaida wana zitengeneza?
  2. pdozen_nation

    INAUZWA Magauni ya harusi na send off yanauzwa na kukodishwa

    Magauni ya harusi na send off yanauzwa na kukodishwa 0685141035
  3. pdozen_nation

    Kijana wa kucha anahitajika

    Hello Madam Naomba unipostie Nahitaji kijana anaejua kupaka rangi aina zote na huduma zote za saloon ya kucha Awe anaishi maeneo karibia na Kimara 0752934983
  4. pdozen_nation

    Kijana wa kuzaa popcorn kwenye kimashine feri

    Natafuta kijana wakuuza popcorn maeneo ya feri pale location ipo imetulia kabisa mshahara ni maelewano kama kuna mtu ataitaji apige simu 0685141035 asitume sms piga simu [emoji1545]
  5. pdozen_nation

    Kazi kiwanda cha NIDA Tabata TOT

    Wakuu leo nimepita Tabata pale nimeona watu wapo nje kwenye kiwanda cha NIDA pale TOT kama veepe embu fatilieni mnaweza mkapata kazi [emoji1545]
  6. pdozen_nation

    Tenda ya MC na Muziki

    Natafuta mc na mzikiwake wa shughuli ndogo tu ya watu 150 kwenye ukumbii kama yupo umu au una ndugu yako ana mziki na ni MC shughuli ni tarehe 2/12 tuwasiliane 0685141035 [emoji1545] ofaa yangu 600,000
  7. pdozen_nation

    Ainaitajika kijana wakukaa dukani feri

    Anaitajika kijana wakukaa dukani mshahara 60,000 kula kulala kwa boss awe mtiiifu na mchamungu kama yuko tayari anicheki 0685141035
  8. pdozen_nation

    Anaitajika dereva bajaji wa hesabu Mbezi Louis

    1. Awe Mtanzania kwenye kitambulisho cha NIDA 2. Awe na leseni ya udereva 3. Aje na mashaidi wawili Atume CV yake kwenye email @pdozen74@gmail.com
  9. pdozen_nation

    Kampuni ya ASAS maziwa wanatoaje ajira?

    wakuu naomba kuuliza nawezaje pata kazi kwenye kiwanda cha asas maziwa ata kusambaza tu kwenye gari kulelekea wateja kama una connection nijuze
  10. pdozen_nation

    Kuna kiwanda chenye kazi rahisi!?

    hivi kunakiwanda ambacho akina kazi ngumu raisi ? kama kipo kitaje na malipo yao yakoje watu wanatafuta
  11. pdozen_nation

    Msaada: Fremu ya duka maeneo ya Mbezi Luis au Kimara zinapatikana kwa bei gani?

    Wakuu naombaa kuuliza fremu ya duka Mbezi Luis au Kimara naweza pata kwa shingapi kwa mwenzi maeneo ya barabarani barabarani?
  12. pdozen_nation

    Natafuta kiwanjaa goba

    Naitaji kiwanjaa goba kwa bei ya milioni 7 kama kuna mtu anaweza nipatia
  13. pdozen_nation

    Natafuta tenda ya kuwa Tingo wa Malori

    Hivi wakuu nawezaje kupata utingo wa malori sijasomea ufundi ilaa napenda kufanya kazi iyoo kama una connection waku na pia kama kuna changa moto zake mniambie mapema
  14. pdozen_nation

    Msaada: Nataka kufungua duka la hardware

    Nina mtaji mdogo, nataka kufungua duka la hardware za umeme. Changamoto zake ni zipi?
  15. pdozen_nation

    Kwa mtaji wa milioni 4.5, anaweza kufanya biashara gani kwenye miji iliyochangamka

    Kwa hapa Dar es Salaam au mikoa mingine iliyoo changamka kama Dodoma, Mwanza na Arusha kama mtu ana mtaji wa milioni 4.5 anaweza fanya biashara gani ikatoa asipate bughudhaa ya migambo
  16. pdozen_nation

    Naomba kazi?

    Mdogo wangu amemaliza Diploma ya Marketing amefanya kazi kwenye baadhi ya cargo Dar es Saalam anauzoefu na marketing na hachagui kazi 0685141035 yupo Dar.
  17. pdozen_nation

    Mtanzania aliyemaliza Kidato cha Sita anawezaje kupata ajira serikalini?

    Hivii sasa hivi Mtanzania aliyemaliza form six anawezaje kupata ajira serikalini?
Back
Top Bottom