Pole sana PakaJimmy .. Hakika huu ni msiba mzito sana kwa watanzania wote kwa ujumla.... Mungu awatie nguvu wazazi wote walioondokewa na watoto wao wapendwa!
Mh Mwigulu .. Wewe ni waziri wa mambo ya ndani.. Binafsi naamini una mchango mkubwa sana nchi hii kuhusiana na suala la Ben.. Ila nikiangalia ni kama vile serikali imelitupilia mbali, haionyeshi kuguswa na kupotea kwa mwenzetu huyu kwa kipindi chote hicho... Badala yake suala la Faru John ndio...
Vipi kuhusu alivyopatikana mzee wa mwendokasi? Unafikiri haki ilitendeka? Kama hujui basi uliza kwa vilaza wenzio wakuambie sasahivi wanavyojuta kubaka demokrasia na kumpitisha mzee wa mwendokasi
Hahaha.. bab Jesca ametamba vya kutosha, sasa ni zamu yetu atupishe ! Afu hivi anajua kama jumatatu/jumanne tunaanza ramadhani na hatujui wapi tutapata sukari?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.